المدة الزمنية 2:33:4

LIVE: RAIS MAGUFULI SHULE ZIFUNGULIWE, NDOA ZIENDELEE KUFUNGWA

بواسطة Millard Ayo
108 930 مشاهدة
0
627
تعليقات - 156
  • @
    @sarahmwamwela4181منذ 4 سنوات Mungu akupe maisha marefu Rais wetu!!! 2
  • @
    @emmanuelmwakyusa4119منذ 4 سنوات Blessed president J .P. Magufuli ,, Tanzanians benefits much with your extraordinary performance throughout all developmental sector and preventing corruption, id="hidden2" class="buttons"> misuse of their natural development that triggers national development. ....وسعت
  • @
    @matukiosafaris6508منذ 4 سنوات Sina la kusema ila mwenyezi mungu akupe maisha marefu Rais wetu John Pombe Magufuli unaipeleka nchi yetu mahali pazuri tunajua kuna misukosuko lazima itokee id="hidden3" class="buttons"> lakini sisi wananchi tunajua nia yako ni kutupeleka sehemu nzuri sana na kila mwananchi afurahie kuzaliwa mtanzania
    Mungu akubariki sana
    ....وسعت 3
  • @
    @aminamwangairo2757منذ 4 سنوات Love Tanzania . Kula yangu inakusubili Rais wetu 6
  • @
    @fridathomassen5898منذ 4 سنوات Congratulations President Magufuli for the good job you have done in your first term. You have done a lot in a period of five years as President.
  • @
    @elizabethmwita244منذ 4 سنوات Zats my presidentits such a blessing to have u as our President
  • @
    @crissjulip3159منذ 4 سنوات Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio zaidi asante kwa kuleta maendleo makubwa I love Tanzania 2
  • @
    @rinovarthiliwi1314منذ 4 سنوات Kwa mambo aliyowafanyia Watanzania kuwafukuza watu 15,008 bila kuwalipa
    mishahara na marupurupu yao Magufuli kushinda kura na wabunge wake mpaka id="hidden4" class="buttons">
    waibe kura kama Mwaka 2015. CCM na Magufuli walihusika kuiba kufilisi
    Matajiri wenye kutoa ajira kwa Watanzania. Walihusika kuteka fedha za
    kigeni kwenye maduka ya Dar es salaam, Arusha, Moshi, Mwanza na
    kwingineko na kutumia fedha kununulia ndege. Wametumia Polisi kuwateka,
    Kuwapiga na Kuwaua Watanzania wasaio na hatia. Kutumia kodi za
    Watanzania kufanya hayo aliyoyafanya bila hata kutumia invoice na risiti
    haina maana kuwa Watamchagua. Kila Mtanzania anao uwezo wa kuongoza
    nchi na kufanya hata zaidi ya hayo aliyoyafanya bila kuiba. Tutakuwa na
    imani gani kuwa hajaibia Watanzania wakati hana mahali popote
    alipoandika matumizi ya fedha za Serekali huku anamwaga mapesa kila
    anakopita hizi fedha zinaandikwa wapi. Watanzania msikubali kuwekewa
    pazia machoni na wengi wenu ni wasomi. Wabunge wa CCM kule Bungeni
    wanapewa pesa kwenye bahasha kupitisha baadhi ya miswada ambayo haina
    tija kwa taifa kwa kutumia uwingi wao. Bila kuiba kura CCM haitoboi.
    ....وسعت
  • @
    @sedekiafulgensi6844منذ 4 سنوات Hatuna cha kukulipa raisi wetu Dr.Magufuli sisi watanzania tunasema mungu akulinde xana kwa kazi nzuri mitano tunakupa tena. 2
  • @
    @aminaabdiabdi7112منذ 4 سنوات I love my president ❤️ maguful Baba Laooo thanks for almighty kkleta ATA c lazima ku votes we kalia kiti endelea kpiga kazi much respect Mr president 3
  • @
    @rehemashaban6858منذ 4 سنوات Hongera sana baba ukirudi tena fatilia sana mabarozi wako wote ili wajue raia wao waliopo ktk nchi walizopo, pamoja na mishahara ilituzidi kuchangia nchi yetu nipo . Dubai 5
  • @
    @deborahnasson5521منذ 4 سنوات Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki viongozi wa Tanzania. 2
  • @
    @mchungajijesse4593منذ 4 سنوات Nakupongeza mhe raisi. Mungu akupe uzima kweli kazi umeipiga. 2
  • @
    @salhamrishoaish9292منذ 4 سنوات Nipo mbali lakini natamani kupiga kura natamani wa tz tuliokuwa nje tungewekewa utaratibu wa kupiga kuralove tanzania nakupenda pia rais wangu maendeleo tunayaona unasifiwa 3
  • @
    @luturinakivaria6565منذ 4 سنوات Ikibidi katiba ya kipengele cha miaka ya urais iboreshwe , magu aendelee miaka 20 , magu woooyooo, hongera sana babas 2
  • @
    @salmaathuman9156منذ 4 سنوات Ahsante mungu kwa kutuletea jembe magufuli love tanzania 9
  • @
    @zenasalehe3306منذ 4 سنوات Innshallah mungu akuweke Rais wetu miaka Kama yote
  • @
    @izzode634منذ 4 سنوات We very proud 2have a president like you in our country thanks load 1
  • @
    @edwinepaul7745منذ 4 سنوات Hongera sana kwa kazi nzuri ya kitume uloifanya mh . prsd. JPM !! 1
  • @
    @benjaminjoseph1747منذ 4 سنوات Wewe baba Mungu akubariki. Mwenye kukulaani itamrudi mwenyewe kwani mwenyewe macho haambiwi tazama. Mabadiliko tumeyaona kwa macho yetu. Na tusiposhukuru id="hidden8" class="buttons"> si haki machoni pa Mungu. Ubarikiwe sana.
    Mungu ibariki Tanzania na watu wake
    ....وسعت 1
  • @
    @mariyammariyam971منذ 4 سنوات Allah azid kukusimamia yan kama itawezekana Katiba ibadiriswe iliuendelee kuongoz TZ kama utakua hai 2
  • @
    @conslatorjossy3951منذ 4 سنوات Magufuli oyeeeee.hongera baba ,hapa n kaz tuu,..maisha marefu magu. 4
  • @
    @selemanramadhan3482منذ 4 سنوات Hakuna namna nikumshukuru mungu peke yake coz bila yeye yasingekuwa haya ❤ 7
  • @
    @khatibkhatib2249منذ 4 سنوات Nasisimka saanaa mwili wangu kwa hotuba zako baba maghufuli 4
  • @
    @rosesaid40منذ 4 سنوات Hongera sana rais wetu kwa juhudi zako
  • @
    @shokaali3527منذ 4 سنوات Asante Mungu kwa kutupa kiongozi huyu kwa kweli amefanya vizuri sana watanzania tunajivunia hili jembe. Asieona usimwambie tazama wacha wapige kelele wewe ni jembe 5
  • @
    @silvergas6696منذ 4 سنوات ni vyema muheshimiwa mambo unayofanya sio mabaya kila mtanzania anaitikia kwa nguvu 1
  • @
    @emmanuelmwakyusa4119منذ 4 سنوات That is an extraordinary president ALL the Time.
  • @
    @moviesstorehub7827منذ 4 سنوات President of united republic of Tanzania
    Chuma jpm
    2
  • @
    @innocentpatrick813منذ 4 سنوات Hongera Sana Mh. Rais kwa hotuba nzur na yakupendeza, Lakini pia tuendelee kuchukuwa tahadhari juu ya janga la Covid19 4
  • @
    @mariamm2724منذ 4 سنوات Asnt mungu kwa kutupatia kiongozi nwadolifu anayejuwa kuchapa kazi na mwenye hofu ya mungu 2
  • @
    @drackjohn8805منذ 4 سنوات Yes haya ndio maendeleo mr lovely President 1
  • @
    @afrikanslooktz224منذ 4 سنوات Hadi rahaaa, Ila pia ujue ukiwa na mtaji mdogo na hujui ufanye biashara gani
    ikutoe njoo upate mbinu mbalimbali kujikwamua kiuchumi, Karibu sana sana
    Follow me insta @@mapishi_zona
    2
  • @
    @elizabethmbiri477منذ 4 سنوات Hongera jembe letu shule oyeee maana tulichoka kukaa home 4
  • @
    @ashajuma6432منذ 4 سنوات Hongera sana mhe. Rais tunakukubali kabisaa.hotuba nzuri na yenye mantiki kabisaa. Mungu akukusimamie Amiin. 4
  • @
    @idaroselle4755منذ 4 سنوات Asante kabisa bafungule batu bana teswa bure Africa mukatale vaccines ya wazungu kwa kua hapa Canada bado vaccin hajapo bado kabisa mukatale 2
  • @
    @manaseelias2351منذ 4 سنوات Magufuli kampeni usifanye wasalimie tu wananchi maana ikulu yako baba mungu akupe neema ya kimbingu maana anakusudi jema na tanzania 2
  • @
    @mwadiabulymoshabani6336منذ 4 سنوات Magufuli hoyeeeeee, Mimi naona ikiwa vyama vya upinzani ,vinapenda maendeleo ya Tz. Wamuache Magufuli aendeleee tu maana anaiweza nchi hii 6
  • @
    @pendomkumbo8262منذ 4 سنوات Bora turudi kazini walimu tumechoka kulala maana mbavu zinauma,pia watoto wetu wakasome maana walianza kupoteza dira. 11
  • @
    @luturinakivaria6565منذ 4 سنوات Asante sana jembee kura zote za uraisi juu yakoo. Ila tusaidie NSSF Wanatutesa sana na mafao yetu. Tunaomba uliangalie hilo 3
  • @
    @marymfugwa847منذ 4 سنوات Watumishi wa sekta binafsi hasa upande wa elimu tulikuwa na hali ngumu hakuna mshahara wa posho!. 3
  • @
    @kisenasamson2520منذ 4 سنوات Mwenyewe hata kichwa akium najua rais tayar 1
  • @
    @thadeimsoma7295منذ 4 سنوات Asante sana rais wangu kwa kumfukuza mkurugenzi hapa arusha wizi ulikuwa umezidi nimelipishwa kodi ya panga sh,375000 za uwongo ukiwaonyesha risiti wanakataa id="hidden11" class="buttons"> wanakuambia labda ukatafute risiti zingine hiyo almashauri yote imeoza wote ni waizi wanatakiwa wote wafukuzwe, ....وسعت
  • @
    @ajunakarumuna8267منذ 4 سنوات Woyoooooooooooo
    Go back at school
    Nlikuwa nmemiss shule balaaa
    5
  • @
    @evamwimike7355منذ 4 سنوات Wacha niendelee kumshukuru Mungu kwa kila jambo.nchi yangu n zawad kubwa sana ntaipenda daima Tanzania yangu. 3
  • @
    @husnahassan6289منذ 4 سنوات Rais wetu mwema kiongozi wetu shupavu Asante sana Mungu tunakuomba ututuzie JPM WETU AMEEN 3
  • @
    @radhiambwana8787منذ 4 سنوات Umefanya kazi kubwa Rais kwakwel kura zako zipo wazi kabsa! ila ukumbke wawekezaji kuwapunguzia kodi maan wao ndowanao ajiri asilimia 80 ya wananchi wako. Nakupunguza makali ya umasikini. 15
  • @
    @familyserver4836منذ 4 سنوات Habari, natoa huduma ya kutangaza biashara online kwenye YouTube na Facebook. Nicheck +255 745 521 126
  • @
    @salumkhamis7818منذ 4 سنوات Hizo takwimu zote zinatoka kichwani bila kusoma popote umetisha hiki ni kichwa jamani tukubal tu 1
  • @
    @godcompeter9844منذ 4 سنوات Iyo ni campen tosha we kachukue fom tu kama ushaidi kura milion 50 ni zako muheshimiwa 8
  • @
    @irrinendanu9756منذ 4 سنوات Am from Kenya,but proud of Dr John Magufuli ,but my question Tanzanian, have you fought the covid -19 no one with mask here and social distance
  • @
    @ameyashey3174منذ 4 سنوات Kwahiyo wapinzaNi wapo hapo wanasikiliza au ndio wametimkaa nje‍♀️‍♀️e 5
  • @
    @priscamasanga8856منذ 4 سنوات Chezea magu weweee mtampenda tu wale wote mlokua mnamtolea povu haya sasaa mtajibeba 3
  • @
    @Honest_Manمنذ 4 سنوات In Kenya,schools will reopen in September. 5
  • @
    @happinessmushi2294منذ 4 سنوات raisi Magufuli ni genius aisee hizi numbers za pesa sioni ukisoma mahali 4
  • @
    @michaelhyungim8174منذ 4 سنوات I'm just asking guys, how the hell did he memories all that stuff. Because I couldn't see any iPad or any paper there 6
  • @
    @nashonshimba7997منذ 4 سنوات Huyu msukuma n shida hotuba yote kichwan hata tramp hawez hii feerstaili
  • @
    @salumkhamis7818منذ 4 سنوات Magufuli umetisha,takwimu ziko poa ,ila wakumbuke masheikh waliopo jela bila hatia 1
  • @
    @OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdbمنذ 4 سنوات Wale walio kua wakiuliza rais ana Wezaj kuhutub hana paper wala iPad He used teleprompter, that 2 Bleu mirror behind him. But support me for Subscribe pls 3
  • @
    @cadeyvassir1132منذ 4 سنوات Wale wajinga waje wampinge sasa , wataweza kweli ?? 5
  • @
    @masudijahaziمنذ 4 سنوات WALE WA KODI ZETU WAPO KWELI AU ZILIKUA NI PURUKUSHANI TU KABLA YA KUCHOMWA SINDANO 2