🔴#LIVE : HALI ILIVYO UWANJA WA MKAPA, MASHABIKI WAFURIKA KAMA WOTEEE.....
🔴Kariakoo Derby leo Novemba 11, 2021 moto unawaka, ni miamba miwili mikubwa ya soka nchini Tanzani inashuka dimba la Benjamin Mkapa, SIMBA SC VS YANGA SC, Mnyama dhidi ya Wananchi🔥🔥
Kama kawaida #MpenjaTV tunakuletea Updates zote za uhakika na weledi, endelea kuwa nasi.
#SimbaVsYanga #KariakooDerby #Simba #Yanga #NBCPremierLeague #TFF #TPLB #MpenjaTV