Assalamu aleikum. Recipe ya leo ni ya ndizi za mkono wa tembo ama za kiume. Ni nzuri sana na rahisi kutengeneza. Na pia ni nzuri sana wakati wa ramadhan
Mahitaji:
3 plantains / ndizi za mkono wa tembo
3 cups tui jepesi
1 cup tui zito
2 tsp iliki
1/2 cup sugar