المدة الزمنية 5:46

Wachawi wa Bukoba washindwe kwa jina la Yesu wafichuliwe wote , wasiovaa khaniki na wanaovaa IMETOS

243 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2023/04/29

Mungu hapendi Wachawi mnarudisha maendeleo nyuma ya jamii yote ,mnatesa watu wengi mkijificha gizani lakini kwa UWEZO WA ROHO MTAKATIFU, JINA LA YESU NA DAMU YA YESU mnafichuliwa na MUNGU. Familia yangu imeteseka kupitia hao wachawi na kwa mtindo huu wameumiza wengi miaka nenda rudi. YESU alisema imekwisha MSALABANI nasi tunasema inatosha. tumechoka kulogwa. ACHIA WATU WETU, achia nafsi zetu na achia nafsi za watoto wetu, achia nyota zao waishi maisha waliopangiwa na MUNGU. Vichaa hawajaumbwa na Mungu wa mbinguni maoepo yenu na majini yenu ya shetani yanafanya watu vichaa, mnafanya watu wawe na magonjwa yasiyoyakweli, mnachuma pesa za watu kimiujiza eti chuma ulete. YESU ANASEMA IMETOSHA. Mmeteka miji kwa maduka yenu na mahoteli yenu. Mnaiba picha zetu mitandaoni na kupeleka kwenye madhabau yenu matambiko, mnaweka mapepo kwenye mitandao yetu kusudi tuugue tusiwapost pia mnacomment na majina ya ajabu wewe Thedineinhell na Kashoketz YESU anawaita akisema ACHIA WATU WANGU, ACHIA HATIMA ZAO. Acha watu waje nyumbani BUKOBA wakiwa free . Vilio vya watu wa MSEKULE mnaowatumikisha kwenye majumba yenu na maduka yenu VILIO VISIKIKE KWA MUNGU WA MBINGUNI. Tunasema BUKOBA imetosha. Mnajifanya rafiki zetu tunawakaribisha kumbe mmekuja kutuua au kutuchukua misekule au kutuletea mapepo ya magonjwa mfe wenyewe viwapate wenyewe KWA JINA LA YESU. Misekule kwenye maduka yenu hata hawaongei au kupokea fedha. ACHENI UCHAWI MSHINDWE KWA JINA LA YESU NA DAMU YA YESU maana mnakwenda kutoa makafara ya watu, wanyama na ndege, Yesu ndio kafara yetu kubwa, alijitoa kwa ajiri yetu pia anatuponya magonjwa yote ya mapepo mnayotuwekea. Maduka yenu si ya kweli na, mali zenu si za kweli na wafanyakazi wenu si wa kweli, yote mihujiza tu. Mnatumia wanawake wa mitaani na watoto wauza karanga kuharibu mji na mkoa kwa mapepo mnayowawekea KWA JINA LA YESU MSHINDWE. Hata mkienda mashuleni mukaelimika kiasi gani bado mnarudi kurithi uchawi wenu kwa wazazi wenu visingizio eti mama au baba kashindwa kuendesha maduka kumbe mnarudi kuendeleza kazi ya shetani ya uchawi. mmeshikiriwa na wazazi wenu ili muwe wachawi kweli, mkituloga tutawafichua KWA JINA LA YESU JINA LENYE NGUVU KULIKO MAJINA YOTE. MUNGU KATOA ONYO DHIDI YA UCHAWI imeandikwa KUMBUKUMBU LA TORATI 18:10 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, 11 wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu. 12 Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, Mungu wako, anawafukuza mbele yako. MUNGU WA YESU KRISTO AWAFUKUZE BUKOBA NYOTE WACHAWI. MKAMATWE MKIENDA KULOGA KWA JINA LA YESU NA DAMU YA YESU, MKITUTUMIA MAPEPO NA MAJINI YENU YAWARUDIE NYIE KWA JINA LA YESU, MCHOMWE MOTO WA ROHO MTAKATIFU MKITUFUATA KUTULOGA SISI NA WATOTO WETU NA NDUGU ZETU, MKIENDA UKO KUZIMU KWENU MILANGO IFUNGWE MSIRUDI KWA JINA LA YESU, MKIENDA KUTULOGA KWENYE MADHABAU YENU YAUNGUE MOTO WA ROHO MTAKATIFU KWA JINA LA YESU. KILA MENDAE KUWALOGA AWAONE KWA MACHO ZABURI 35 (Zaburi ya Daudi 1Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia. 2Utwae ngao yako na kingio lako, uinuke uje ukanisaidie! 3Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia. Niambie mimi kwamba utaniokoa. 4Waone haya na kuaibika, hao wanaoyanyemelea maisha yangu! Warudishwe nyuma kwa aibu, hao wanaozua mabaya dhidi yangu. 5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, wakikimbizwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu! 6Njia yao iwe ya giza na utelezi, wakifukuzwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu! 7Maana walinitegea mitego bila sababu; walinichimbia shimo bila kisa chochote. 8Maangamizi yawapate wao kwa ghafla, wanaswe katika mtego wao wenyewe, watumbukie humo na kuangamia! 9Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu; nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa. 10Nitamwambia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote: “Wewe ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe! Wewe wawaokoa wanyonge makuchani mwa wenye nguvu, maskini na fukara mikononi mwa wanyanganyi.” 11Mashahidi wakorofi wanajitokeza; wananiuliza mambo nisiyoyajua. 12Wananilipa mema yangu kwa mabaya; nami binafsi nimebaki katika ukiwa. 13Lakini wao walipokuwa wagonjwa, mimi nilivaa magunia kuonesha huzuni; nilijitesa kwa kujinyima chakula. Nilisali nikiwa nimeinamisha kichwa, 14kana kwamba namlilia rafiki au ndugu yangu. Nilikwenda huko na huko kwa huzuni, kama mtu anayeomboleza kifo cha mama yake. 15Lakini mimi nilipoanguka walikusanyika kunisimanga. Walikusanyika pamoja dhidi yangu. Watu nisiowajua walinirarua bila kukoma, wala hakuna aliyewazuia. 16Watu ambao huwadhihaki vilema, walinisagia meno yao kwa chuki. 17Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini? Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao; uyaokoe maisha yangu na simba hao. 18Hapo nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu; nitakutukuza kati ya jumuiya kubwa ya watu. 19 Usiwaache maadui hao wabaya

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0