المدة الزمنية 2:47

MWALIMU MBARONI TUHUMA RUSHWA YA NGONO KWA MWANAFUNZI WAKE

بواسطة Nipashe Digital
650 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/09/25

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya, inamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyeregete iliyoko wilayani Mbarali, Adelhard Mjingo (44) kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14.

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 0