Mkuu wa mkoa wa Dodoma ametoa maelekezo kwa wazazi na walezi wa mkoa wa Dodoma kuhakikisha kuwa ifikapo January 7/2022 kuhakikisha watoto wao wameshapelekwa shule.
Ameyasema hayo punde baada ya kukagua utekelezaji wa madarasa yaliyotokana na fedha zilizotolewa na Rais Wa Tanzania ,Samia Suluhu Hassan.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على AGIZO LA MKUU WA MKOA WA DODOMA KWA WAZAZI .: