@ludyonlinetv3116منذ 3 سنواتCongratulations to you my President his excellence Hon John Joseph Magufuli. May good Lord bless you always. 21
@
@johnmlay4759منذ 3 سنواتThanks God for bringing us such a hardworking president who committed himself to bring tanzanians really development, protect and lead him so he can deliver id="hidden1" class="buttons"> more & more to us because it's many years we never got such development like we witnessing now, Amen. ....وسعت38
@
@bernardoleonard7331منذ 3 سنواتNilikuwa chadema lakni Sasa Sina chama ila Magu mmmh baba nakupenda Sana kwa maono nakujitolea kwako Mungu akupe maisha marefu amen. 10
@
@kambamazig02024منذ 3 سنواتHaya ndiyo maendeleo, maana wengine walikuwa wanabeza. Leo hii stesheni kama hii ni kitega uchumi kikubwa sana. Kudos JPM, asante kwa kuwafungua macho watanzania kuwa tunaweza. 18
@
@KS-iw7qvمنذ 3 سنواتDoh kumbe kila kitu kinawezekana. ni kupata viongozi wenye MAONO tu. GOD BLESS TANZANIA ✔ 7
@
@emanuelpaul7971منذ 3 سنواتI salute you Dr John Magufuli. Mungu akulinde zaidi. 4
@
@J4UProمنذ 3 سنواتSafi sana Rais wangu uzalendo kwanza mengine baadae JPM Forever 17
@
@cosmasdaud9088منذ 3 سنواتSerikali kuu inakwenda kukusanya mapato kupitia huu mradi balaaa tuvumilie tu Mambo mazuri yanakuja huu mradi ukianza kuzalisha pesa 11
@
@errydeo8865منذ 3 سنواتNiko nje,kuna stations kibao,nyingi hazina ubora huo,ukiachia main stations za miji mikubwa! safi .sana.hata za mabasi!Tunapiga hatua 3
@
@MYCYOBELمنذ 3 سنواتHuyo jamaa aliyeanza kuongea yuko vizuri sana anamaelezo yamenyooka na anaeleweka. 17
@
@april7teenمنذ 3 سنواتMwenye namba ya Mbeligiji anipe nimtumie hii video sio vizuri apitwe na mambo kama haya 22
@
@ernestsinje8693منذ 3 سنواتSasa huku ulaya kuna tofauti gani na nyumbani ?bora nirudi home tu.du! 16
@
@GraphicdesignerTzمنذ 3 سنواتkazi hii ni mipngo ya mungu kumuwezesh rais wetu kuonesha vitendo katika ahadi zake 11
@
@cosmasdaud9088منذ 3 سنواتMagu kiboko jaman tuache unafiki kwa maendeleo tu ametisha miaka 5 tu ya Kwanza kafanya maajabu 12
@
@uledimtumwa2406منذ 3 سنواتJamani hapo sio Chato kweli!!?? Ila watu wana Chuki binafsi. 11
@
@kelvinchuwa2212منذ 3 سنواتKweli hii ni 20 /21 nimefrahi kuiyona namshukuru Mungu 1
@
@zakariagaspa9918منذ 3 سنواتDa Atari kama hubeyi chaina ndo kuna ivi vitu 9
@
@blancoskitchen2525منذ 3 سنواتTafadhalini jamani as mnaona mradi umechukuwa mapesa mengi jitahidini maintenance jamani mirado mingi ya selikari haina maintenance kama mwendokasi hasa vituoni 1
@
@nicholausswai7756منذ 3 سنواتHapo ukiingia lazima uwe msafi. Ule uporipori yabidi watz tuuache. Japo wasiwasi wangu mkubwa ni kama tutaweza kuendelea kutunza hayo mandhari yabakie katika ubora wake kwa miaka 6
@
@joelrugano6517منذ 3 سنواتTatizo kubwa tulilo nalo ni matunzo Hatuna jadi ya kutunza (maintanance). Tunajenga vitu vizuri baada ya muda kila kitu kina chakaa. Tusiwe id="hidden5" class="buttons"> wazuri wa kusifia kitu kipya tuwe na utamaduni wa kutunza pia. Taa zinang'ara leo je baada ya miaka mitano hali itakuwaje? ....وسعت2
@
@masundelwaمنذ 3 سنواتSafi Sana TRC RELI TZ. But make video more CINEMATIC 1
@
@angelavayinga914منذ 3 سنواتTanzania mpya tuitakayo,ahsante sana Magufuli raisi wetu 2
@
@bongobongo1755منذ 3 سنواتUsilete mchezo kwa magu mavitu ya ulaya tunaletewa na bado ndio ameanza 25
@
@zefamange7281منذ 3 سنواتHONGERA RAIS MWENYE MAAMUZI MAGUMU, JPM 4
@
@jokeableking7039منذ 3 سنواتHuwa Naakaa Nafikiria Saana Lkn Nashindwa Kupata Majibu ya Haraka ""Hivi Viongozi Kama Hawa Walikuwa Wapi Toka Kung'atuka Kwa Mwl. Miaka id="hidden6" class="buttons"> Ya 85 ?? But Only God Knows. Excellency Honourable Jpm to Advance us. AMEN ....وسعت3
@
@temkezatv4381منذ 3 سنواتTanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza id="hidden7" class="buttons"> Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI ....وسعت13
@
@onesmojustice2348منذ 3 سنواتHivi yule jamaa kweli angeweza kufanya haya na Sera zake za america? 2
@
@sudisalumu4435منذ 3 سنواتMashine za kukatia tiketiwataziharibu wenyewe ili waje WACHANA TIKETI kama wa mwendokasi wanazarahu hao
@
@eischerschwederm7876منذ 3 سنواتNaomba mpambe na maua ndani yaani maia ya miti please na pia culture zetu kama decorations 1
@
@kabwelasutiviraka4765منذ 3 سنواتWana Morogoro mlio ndani na Ughaibuni mpo? Muda si mrefu Morogoro liwe jiji, tulio Ughaibuni turudi tuijenge Morogoro yetu mji wa milima Uluguru mji kasoro bahari, 1
@
@evaristmandilindi6147منذ 3 سنواتMIMI NAPENDA SANA MAENDELEO KA HAYA KATKA NCHI YANGU ILA TATZO TU WEAKNESS YA NCHI YANGU NI MATUNZO HATUWEZ TUJITAHID SANA KUWEKA BAJET YA MATUNZO YA HII MIUNDOMBINU 1
@
@evaristmandilindi6147منذ 3 سنواتEt kuna MA mtu ma8 yamedislike yaan hayajapenda
@
@husseinhkitambi1701منذ 3 سنواتUtunzaji ndio tatizo mwendo kasi imeharibiwa vibaya tulikua na mashine za card lkn sasa card hazitumiki wameharibu makusudi ili waendelee kuiba 9
@
@kelvinchuwa2212منذ 3 سنواتMatajili wa mabasi wajipange manyanyaso sasa basi wanyooshe Mh : Magu walizidi kutunyanyasa mabasi yao wakafugie kuku nyoko 1
@
@iddisillas4522منذ 3 سنواتALAFU UNASIKIA MTU ANASEMA MAENDELEO YA VITU? ULITAKA TUVAE NGOZI ZA KIKOLONI MPQKA LEO? ETI NDIO ALITAKA KUWA RAISI MPINGA MAENSELEO MAGU id="hidden11" class="buttons"> PIGA KAZI MUNGU YU NAWE PIGA KAZI HUKU UKITEMBEA KIFUA MBELE MAANA MUNGU AMEKUSHIKA MKONO NAKUOMBEA KIONGOZI MWENYE MAONO ....وسعت1
@
@mohammednassor3081منذ 3 سنواتMagufuli unastahili sifa na wewe ndie rais wa watu uwe rais wa maisha 1
@
@kasimmarko5513منذ 3 سنواتMh rais magufuli hii reli tunaomba iende hadi mwanza sbbu anaweza ongera mh rais
@
@2.0BuzzDreمنذ 3 سنواتTanzania twasonga mbele Kenya mko nyuma bila pingamizi 7
@
@revocatusedward5739منذ 3 سنواتWATANZANIA NAANZA KUWAKUMBUSHA KABISA WALE WENZANGU NA MIMI HIYO MILANGO INAJIFUNGUA YENYEWE SASA WE UFIKE UANZE KULIVUTA 10
@
@beaugosseadam6831منذ 3 سنواتWatu wana hasira kubwa sanaaaa, kwasababu ya kubanwa kwa wizi, dili na ubadirifu. CCM ikikosea kama 2005-2015 hivi vyote tunavyoviona vitapigwa bei. 4
@
@iddisillas4522منذ 3 سنواتALAFU UNASIKIA MTU ANASEMA MAENDELEO YA VITU? ULITAKA TUVAE NGOZI ZA KIKOLONI MPQKA LEO? ETI NDIO ALITAKA KUWA RAISI MPINGA MAENSELEO MAGU id="hidden12" class="buttons"> PIGA KAZI MUNGU YU NAWE PIGA KAZI HUKU UKITEMBEA KIFUA MBELE MAANA MUNGU AMEKUSHIKA MKONO NAKUOMBEA KIONGOZI MWENYE MAONO ....وسعت
مقاطع الفيديو ذات الصلة على TAZAMA NDANI NA NJE UZURI WA STESHENI YA SGR MOROGORO,UJENZI UMEFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 90%.:
Ule uporipori yabidi watz tuuache. Japo wasiwasi wangu mkubwa ni kama tutaweza kuendelea kutunza hayo mandhari yabakie katika ubora wake kwa miaka 6
Hatuna jadi ya kutunza (maintanance). Tunajenga vitu vizuri baada ya muda kila kitu kina chakaa.
Tusiwe id="hidden5" class="buttons"> wazuri wa kusifia kitu kipya tuwe na utamaduni wa kutunza pia.
Taa zinang'ara leo je baada ya miaka mitano hali itakuwaje? ....وسعت 2
ETI NDIO ALITAKA KUWA RAISI MPINGA MAENSELEO
MAGU id="hidden11" class="buttons"> PIGA KAZI MUNGU YU NAWE PIGA KAZI HUKU UKITEMBEA KIFUA MBELE MAANA MUNGU AMEKUSHIKA MKONO
NAKUOMBEA KIONGOZI MWENYE MAONO ....وسعت 1
ETI NDIO ALITAKA KUWA RAISI MPINGA MAENSELEO
MAGU id="hidden12" class="buttons"> PIGA KAZI MUNGU YU NAWE PIGA KAZI HUKU UKITEMBEA KIFUA MBELE MAANA MUNGU AMEKUSHIKA MKONO
NAKUOMBEA KIONGOZI MWENYE MAONO ....وسعت