Jose amenifwata ofisini kuja kuomba radhi kwangu na kwa watanzania wote kwa ujumla ambao tulimpambania mkewe na mdogo wake waweze kuondoka ili aishi kwa amani kutokana na vitendo alivyokuwa akifanyiwa na mkewe.
Yamemfika yeoi Jose Mtizame hapa akielezea mwenyewe
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah