المدة الزمنية 3:8

KAJALA ASHINDWA KUJIZUIA AJIACHIA NA WIMBO WA EX WAKE, HARMONIZE AMPOST NA KUMUITA SISTER

بواسطة Millard Ayo
242 877 مشاهدة
0
1.6 K
تم نشره في 2021/08/02

Ni video inayomuonesha Mwigizaji Kajala akicheza wimbo wa aliyekua Ex wake Harmonize huku akiwa mtu mwenye furaha, katika video ya kwanza ambayo Harmonize alipost kwenye Instagram Page yake inamuonesha Kajala akiwa na Baba Levo wakicheza patoja huku video ya Pili ikimuonesha Kajala na Mwijaku wakicheza.. PLAY video kutazama

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 125