المدة الزمنية 9:59

HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD

بواسطة Global TV Online
245 534 مشاهدة
0
931
تم نشره في 2020/02/06

HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD Mbunge jumanne kishimba ametoa ushauri katika sekta ya afya na ajira wakati akichangia taarifa za kamati za kudumu za bunge jijini dodoma UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 213
  • @
    @anordefta2853منذ 4 سنوات Safi sana; Haijalishi ni chuo cha serikali ama private wahakikishe ajira zipo; vijana wanateseka mtaani na ndiyo maana maadili yanashuka na ni chanzo uhalifu. id="hidden1" class="buttons"> Unakuta kijana kasoma IT anahitimu akikosa ajira anatumbukia kwenye wizi wa mtandao.
    Serikali tusapoti vijana wanoanahitimu vyuo maana bila hivyo wazazi wanakata tamaa kusomesha watoto huku wakihitimu wanaishia mtaani; yaani hakuna faida tena ya kusomesha maana vijana wengi wanaendelea kuwa tegemezi kwa wazazi wao hata baada ya kuhitimu masomo, baadala ya kulipa fadhira za kusomeshwa wanakuwa mzigo tena.
    It's so painful angalia future ya vijana ambao ndo taifa la leo na kesho.
    Fikiria ninyi mlio kwenye system serikalini kama mngehitimu masomo mkakosa ajira kama mngekuwa mlivyo leo.
    Hongera mzee kwa mchango wako wenye points za kiPhD, kwenye Elimu na Afya pana ukakasi kweli.
    ....وسعت 3
  • @
    @ephraimndelwa4073منذ 3 سنوات aisee nimemkubali huyu mbunge! Kama unaungana nami hebu like kwa wingi hapa! 47
  • @
    @nebartmwakibinga9262منذ 3 سنوات Wewe mzee Yesu akubariki sana unaongea vizuri sana ni muhimu sana 5
  • @
    @lirastanley390منذ 3 سنوات Kama umemuona mh.Mwigulu Nchemba gonga like hapaila mbunge umeongea point sana sana.na kama umesikia neno mganga wa kienyeji piga kicheko hapa 4
  • @
    @bahatilaurence3335منذ 3 سنوات Mungu akubarik we mzee Wang huw unaongeaa fact Sana!!! Ss hao wengine wa kupongeza juhud!!!! 4
  • @
    @wanguwangu34قبل 3 أشهر Huyu jamaa ni bright sana, kiwanda chake Zimbabwe kina wasomi wengi sana, naomba mpeni PhD ya heshima.
  • @
    @jazzymkalitv5535منذ 3 سنوات Asante sana Baba kwa hoja nzuri Bungeni. Nakupenda kwa kuongea ukweli. 4
  • @
    @gipsonmwankobela2825منذ 2 سنوات uyu mzee ni very free minded safi sana,
  • @
    @andreakulisha5144منذ 4 سنوات Great thinkers are very few because they base on reality 9
  • @
    @lwitikoasa6899منذ 3 سنوات kama umeona wabunge wawili wanapiga story piga like 3
  • @
    @happyneskanyenye3760منذ 4 سنوات Huyu ndo Mh anayejua kujenga hoja za maana kulingana na mahitaji ya Jamii . 2
  • @
    @wanguwangu34قبل 3 أشهر Uko sahihi sana maana sifa ya chuo tz ni majengo tu, na hata ajira ni cheti badara ya utaalamu, nilikutana na mtu masters Degree lkn report yake ni sawa na f6 lkn anavyeti vizuri toka chuo kikuu komoja.
  • @
    @devothadeogratias8520منذ 4 سنوات A big point, aisee akili ni nywere aisee za kwenye vyeti hazina maana 5
  • @
    @bantuflavourtz5680منذ 4 سنوات Huyu mheshimiwa ndio nimemuelewa sana alicho kiongea ni kitu ambacho kinatugusa vijana wa leo wa Tanzania mungu amzidi shie afya na mawazo mazuri zaidi 12
  • @
    @peterhano8706منذ 4 سنوات Hongera sn mheshimiwa Jumanne Kishimba Pamoja mkuu uko sahihi kamanda chapa kazi ulipo nipo 2
  • @
    @josephkuta7244منذ 4 سنوات Waaaaa this is the best mp in tz uku knya n nymbe bcz kxi yaoo n ksukuma watu shleni n ukwelii 1
  • @
    @daudpaulo2867منذ 3 سنوات Uyu mbunge ni jembe safi awa ndo wabunge tunao waitaji sio mbungu unatuletea salam za familia safi Sana baba 3
  • @
    @janethlupilli1117منذ 3 سنوات Mbuge wangu kishimba kura yangu haikuenda bure hata kama cina ajira leo umewaka historia, kwa hoja kuntu na hata ukifa leo mawazo yako tutayaisho Amen 3
  • @
    @namkundaemmanuel3408منذ 3 سنوات Kweli nahis kale kausemi ka kusoma sana ni kuwa mjinga ona hzo cheche aiseee stn 7 hyo
  • @
    @makambawaziri8588منذ 4 سنوات Kwa wakati aliosoma muheshimiwa akukua na ufahulu tulicho kua tunaambiwa mnachaguliwa kutokana na nafasi zilizopo sasa ua naumia sana watu wanao wabeza sana watu wa darasa la saba 20
  • @
    @josephjulio6112منذ 3 سنوات Vizuri Sana veta inachelesha Sana Mimi nimejifanza ufundi kwa vitendo hao wanatoka veta tunaaza kuwafundisha upya sio vizuri fundisheni kwa vitendo Ada zinapoteA
  • @
    @eduardojose6229منذ 2 سنوات Nakuja tena,kuhusu ajira afrika tatizo tuna wabebesha madafutari mengi watoto wetu,mfano mtoto wadarasa 6 au 7 tunakuwa na masomo mengi alfu hayana tija,mimi id="hidden8" class="buttons"> niliona mtu asome 4 au 5 ajue kusoma na kuandika na miaka 5 asomee kire mwanafuzi anataka au anapenda kama ufundi,kuwa dakitari,fundi magali na mengineyo apo ndipo afrika tutapata wataharamu wa aina mbili mbili. ....وسعت
  • @
    @busnaoman9981منذ 3 سنوات Anaongea point San lkn hazitekelezwi wengi wao wanaon km anachekesha t dah mtu kaenda pk chuo kikuu lkn akimaliz anazurura mitaan myak 3 akisubir ku id="hidden9" class="buttons">ajiriwa ten saazingin pk atafut kweny Google ss faid yake nin Bora aishie la 7 t aangalie biashar zingin t ....وسعت
  • @
    @rajabungatanda3749منذ 4 سنوات Yani mh.upo vizuri
    Unaongea mambo yanayoigusa jamii kila siku
  • @
    @geofreykilasi7354منذ 3 سنوات Baba j4 kishimba shkamo, unifungua sanaaaaaaaaaah najifunza kwako
  • @
    @issanmedia4654منذ 3 سنوات An awam hii wabunge wenye elimu ndogo ndio wanachangia mawazo bora kuliko wote bungeni, kumbe visevesa is true 3
  • @
    @majimotomalole9812منذ 4 سنوات Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya elimu dunia na elimu ya makaratasi
  • @
    @janealoyce3866منذ 4 سنوات Nakuaminia my boss j4 kishimba mwenyezi Mungu azidi kukutumia unanifurahisha sana 1
  • @
    @jumarashidi9117منذ 3 سنوات Nawapongeza sana wabunge wetu ni wawakilishi wazuri wa wananchi
  • @
    @mashramadhani1989منذ 3 سنوات Sasa watu waogope kufungua vyuo kwakuwa hana vigezo vya kuwapatia hajira?!!!! Wacha watu waelemike. 1
  • @
    @brithonmjema2833منذ 3 سنوات Mkumbushe na wazir mkuu lile swala la urasimishaj mafund limekwamia wap mbona tuliandika majina na namba za simu lakin limekaa kimya? 2
  • @
    @robathzingu1650منذ 3 سنوات Ana mawazo mazuri lakini ni ngumu sana kuya - implement bila kusababisha chaos ktk jamii. Ukitaka kuyatekeleza mawazo ya mbunge Kishimba, ni sharti yapitie id="hidden10" class="buttons"> kwenye chekecheo la wataalamu wa mipango kupima cons & dis. Ni kweli kusoma sana haina maana ya kuwa unaweza. Lakini lazima tukiri kuwa elimu ni muhimu sana ili kukusaidia kufanya mambo ktk ubora zaidi. ....وسعت
  • @
    @jabilingandule6621منذ 4 سنوات Huyu ni mtu mwenye upeo wa mbali na huwa ananifanya niamini uzee dawa na angesikilizwa mambo yangekuwa powa sana 3
  • @
    @mussasadick770العام الماضي Wakimaliza kujifunza kupaka rangi wafundishwe biashara Ili waweze kujiendesha kwenye maisha ya Kila siku
  • @
    @janethlupilli1117منذ 3 سنوات Kila mpunge wa kila wilaya zote watoe idadi ya wasomi wake pia zipo sector nying huko wilayn kwao watupachike jamn
  • @
    @meshacktimoth1370منذ 4 سنوات Huu ni ukweli .
    Tunapaswa tuelekeze nguvu kwenye ubunifu na umahiri unaoleta tija .
    1
  • @
    @charlescoin536منذ 3 سنوات Kwa hali hio hata should za sekondari zifutwe kwan kiingereza sio ligha yetu c ndio unachievable kimaanisha
  • @
    @sugarsugar1706منذ 3 سنوات Bank statement pia wanatoza pesa nawo wangetoa garama hizo 1
  • @
    @MohammedAli-rh5siمنذ 3 سنوات Mm natamani kufungua duka la dawa tuu ni mtihani
  • @
    @fredrickbuya9293منذ 4 سنوات Mbunge anasema ila hoja inakuja 80%. Employment rate ya watu wote waliomaliza mwaka husika ni ngumu kutokana na rasilimani zetu na ufinyu wa sekta za ajira id="hidden11" class="buttons"> zenyewe nchini. Hoja ni kuhimiza watu kusoma na kupata elimu ili kujikomboa kifikra na kufungua fursa ktk vipaji na ugunduzi binafsi. Those people should be credited and be acknowledged by the government ila chuo hakiwezi fanikisha ajira ever since even wanafunzi wenyewe hawasomi mambo yao Bali wanachagua kozi kulingana na alama zao za necta na sio mipango ya nyuma ktk kujifahamu wanataka kufanya nini na kwanini ....وسعت 1
  • @
    @emmanuelngewa8894منذ 2 سنوات mzee wangu huyo kishimba ..kahama no;1.naikumbuka sana shule yake ya kishimba secondary school iliyopo mtaa wa ng'wamva kahama, mzee wa siku nyingi id="hidden12" class="buttons"> sana huyu kwenye harakati za maisha, yeye anaishi maisha mawzo yake, haishi mawazo ya kupandikizwa ....وسعت
  • @
    @KelvinMtavangu-ow8yoقبل 6 أشهر Huyu baba anacheleweshwa na nini kupewa UDAKTARI/ UPROFESA?
  • @
    @wilbroadmalima4386منذ 4 سنوات Mheshimiwa naibu spika Mara 89 umetixha xana like zenu hku 2
  • @
    @dazk7861منذ 3 سنوات Ahahahah huyu jamaa ni zaidi ya professor,,kweli kuna tofauti kati ya elimu na akili
  • @
    @izraelyherman4467منذ 3 سنوات Kweli wizara ya afya umekuwa taabu tupu ni wizi unaendelea
  • @
    @MohammedAli-rh5siمنذ 3 سنوات Kufanya kazi nje ya nchi yangu sio kupenda ila changamoto zinakua nyingi
  • @
    @MohammedAli-rh5siمنذ 3 سنوات Dada yangu ni mpaka rangi mzuri na hakusoma popote
  • @
    @mussasadick770العام الماضي Wanafunzi wakimaliza chuo waulizwe wamejifunza nin?
  • @
    @godsonlaizer1988منذ 3 سنوات hawa ni watu wachache duniani na wapo tanzania 1