المدة الزمنية 26:22

Lamata Leah afunguka kuhusu alivyoisuka tamthilia ya Jua Kali, Dorah, penzi la Kajala na Harmonize

بواسطة Simulizi Na Sauti
31 175 مشاهدة
0
343
تم نشره في 2021/02/22

Sehemu ya pili ya #ChillnaSky, Lamata Leah anaeleza alivyoisuka tamthilia ya Jua Kali pamoja na mambo mengine

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 71
  • @
    @hamedabashir9منذ 3 سنوات Mie pia napenda sana hiyo kityu inshallah ndoto yangu itatimia inshallah kher 7
  • @
    @rahmaluziga4821منذ 3 سنوات Very bright woman ooh LORD bless more and more this woman 2
  • @
    @priscahzebedayo2917منذ 3 سنوات Dada nakupenda zaid ckuwa najua sura yako ila jina kubwa 4
  • @
    @aoman5214منذ 3 سنوات Daaah pole Sana dada na hongera Sana Kwa kujituma dada 1
  • @
    @mwanaharusiallyقبل 11 أشهر Nakupenda sana mwanangu mungu akulinde akufanyie wepesi
  • @
    @francesmpangwa8801منذ 2 سنوات Sister uko vizur sana Mungu akubariki saana
  • @
    @agneschukulukwa1519منذ 3 سنوات We kiboko umechukuwa vikoi umeshona dela vizuri, nimependa sana 2
  • @
    @tullyibrahim8098منذ 3 سنوات ndugu yangu kama ndugu, strong dada!!!!! 1
  • @
    @abedkirway8668منذ 3 سنوات Kaz zako nzur san dada ila sikuwa nakujua kwa sura jina lako kubwa nilikuwa nalijua 4
  • @
    @evedianasaile6811منذ 3 سنوات Mm nastory naweza tukaungana nikakupa story ya maisha pengine ikawa nitamthilia
  • @
    @habibtyhabibty840منذ 3 سنوات Namii naanza kupenda uigizaji nahisi naweza 1
  • @
    @suzanakipanga703منذ 3 سنوات Lamata huko vizuri sana dada nakupenda sana tu namba zako za simu tunazipata wapi? Na mbaye anazo basi tusaidiyane jamani 4
  • @
    @olivanooraladin5436منذ 2 سنوات Lkn Livomfanya frenki akanyoa Kawa handsome manshahlla
  • @
    @ignasbukombe9225منذ 3 سنوات Cast nyingine ni Noel Ndale LAMATA LEAH 2
  • @
    @hassansaul7098العام الماضي Ni kweli aliposema Madam, dairiketa mzuri ni yule ambae anapenda kuona kitu chake kinaenda vizuri
  • @
    @joycelucas374قبل 10 أشهر Jaman dada m nakupend sana naomba namba ako please mmi naomba namba ata we mwandishi nisaidie tafadhal namba ake
  • @
    @winfridadominancy3492منذ 3 سنوات Leo umesema kwakilefu jina lk ndio nikakufaham nakusikia mda mlefu toka nikiwa mdogo watu wawilayan kwetu walikua wakijivunia kua nakijana mtangazazi kalibu kwimba tena 1
  • @
    @themagadirمنذ 3 سنوات Mimi naulizia vipi season 2 ya kapuni? Jamani nimei miss sana I miss scene ya uncle robert and the young boy 3
  • @
    @stevenabraham3165العام الماضي Maliz movie tumechoka lamata visa haviishi
  • @
    @dama4995منذ 3 سنوات Mm nauliza kuhusu kapuni ndo iliixha ama vp
  • @
    @happinessalum8063منذ 3 سنوات Lamata ni motoo i wish one day nitafanya nae kazii 8
  • @
    @beautyibrahim8428منذ 3 سنوات Ata mm huwa najiuliza kwann yupo karibu na dorah sanaa umeniulizia swali langu 1
  • @
    @mrsliverpool4235منذ 3 سنوات Sky niunge nifanye nae kazi jamani nampenda sana 3
  • @
    @montanaprimeمنذ 3 سنوات Kwenye Hilo scene ya Mahindi kukatwa, kweli drone shot was the appropriate one, yani niliumia utadhani mahindi yalikuwa yangu vile. Hongera sana. 2
  • @
    @khasamentertainment4269منذ 3 سنوات Hahaaa wacha nicheke yani sisi tunaofanya filamu tunapata tabu sana hususan uwe dierector duuh kulia kawaida tu maana unafika muda unachanganyikiwa hususani ukiwa makini na kazi yako. 3
  • @
    @saraenock7600منذ 3 سنوات Uwiiiii jamani we dada nakupenda sana nawish nkikutana nawe nawaka 1
  • @
    @daynegallis8926منذ 3 سنوات Kwani jamani kuna anaejua ofisi yake huyu mama ya lamata village intertainment?
  • @
    @msowamhokole7714منذ 3 سنوات Masako kaishiwa ndio maana umempata kiulaisi
  • @
    @safiyatheonlything7848منذ 3 سنوات Tuliyo nje mtuangalie kwa jicho la tatu mtuwekee YouTube 1