#hamisa #nyumba #mwendokasitv
Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: https://www.instagram.com/mwendokasitv/
Follow on Facebook: https://web.facebook.com/mwendokasimedia/
@sadiaabed6687منذ 4 سنواتWatu hawaamini kwa hamisa maana anapenda kiki sana kama gari ya kiki lakini itakuwa vizuri mama diamond atahayari ikiwa itakuwa ana nyumba huo jamisa isijeikawa nikiki 2
@
@zainabubanda7683منذ 4 سنواتNampenda uyu dad anavo pangilia mavazi 1
@
@olgacaleb2790منذ 4 سنواتHamna cha mjengo wala nini. Ila me hua nakuaminia Dada kwa kazi yako nzuri but kwa hili litakupa uongo shogangu mchengo apo amna 1
@
@celinekanda1850منذ 4 سنواتWewe mnafki ulisema misa hana chochote for you info shez going to launch mobetto hairs 3
@
@khadijaoman4085منذ 4 سنوات❤pongezi kwake maana wasanii wengi wanahiyari wakodi majumba ya kifahari kuliko kujenga hususan wasanii wakike akili zao zote zipo kwenye maurembo 2 na sifa za kijinga 9
@
@najmaanajma1195منذ 4 سنواتMABROOK ALFU MABROOK ALLAH AKUZIDISHIE RIZKI YAKO BILA HISAB AMIN YARABIY 7
@
@neemaberny3598منذ 4 سنواتHaya mwenye nyumba akijitokeza mtutangazie pia..celebrities wa bongo bana mnashindwa kuwa proud na kile cha kweli mlicho achieve ukweli mpka mdanganye!!! Si useme tu nime make nimehamia nyumba bora zaidi..kazi kwelikweli
@
@arafajabir3194منذ 4 سنواتhongera yake Hamisa yaliyompata Zarina Hassan kwa nyumba na Hamisa yamempata Allah kareem Mungu ni mwema
@
@ashulamusin9811منذ 4 سنواتSafi mama mkwe wako akajifiche chini ya jiwe nawale wote waliokua wanakuita maskini
@
@zulfamohamed4549منذ 4 سنواتVizr kama amejenga amemaliza nivizr maan kwenye habar yanyumba amemaliza bas atafanya mambo mengine t 3
@
@mikarospius8084منذ 4 سنواتYaani mnaonesha hotel za watu eti nyumba zenu 2
@
@zakyahya4645منذ 4 سنواتKm kweli kama uongo kama kajenga kama kanunua iyo ni sehem y life yake binafsi ainishtui
@
@mlasinyongolo3256منذ 4 سنواتAjenge asijenge, anunue asinunu Misa Madame hero ktk maisha yake.
@
@hassanmmacha7916منذ 4 سنواتKwani kk zimeisha eti nyumba ya hamisa kwani nyinyi waandishi hamna habali za kuandika 1
@
@katurukiladispensary5369منذ 4 سنواتKweli maex wa diamond Kaz wanayo pia Wana jeur hawapend dharau kabisa wanaamua kujenga nyumba zao,tunamsubir tanasha nae,na alivo mlendamlenda 9
@
@st.schogg6772منذ 4 سنواتWao,, congregations.hope God will bless me to I complete mine.in Jesus name.. 1
@
@passionlove1992منذ 4 سنواتanaejua huyu mdad anatumia jina gan insta, naomba aniambie
@
@kessynurutajiri3075منذ 4 سنواتJamani tumechoka kupigwa Changa la Macho, kwenye Pati yake ya kuzaliwa tulionyeshwa gari ya maonyesho. Ili tumwamini atuonyeshe Hati ya Nyumba, vinginevyo hatumwamini ng'ooo. 4
@
@celinekanda1850منذ 4 سنواتAlihamia hapo December for your info mlimsema sana wee mnafki 1
@
@halimabakari5078منذ 4 سنواتKama na wewe unamsubiri Lokola aje kututhibitishia Hill, please gonga like yako hapa 1
@
@fetychina3273منذ 4 سنواتWw mtangazaji acha umbea ulitoa rist ukasema hamissa hajapata mafanikio katia mwaka ulio isha?na ukasema huwa ana piga dili za bule?haya sasa Leo kachukue wembe unyoe vu.zi 4
@
@kessynurutajiri3075منذ 4 سنواتSasa kuonyesha hako kamguu halafu unajificha ficha nini? Si umeamua kuonyesha utupu. 3
@
@evancedaniel7322منذ 4 سنواتMbona hata ww kama una kinyongo ss duh
@
@dorislema1814منذ 4 سنواتuyo mtoto kafanana na lulu kama wake aise
@
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796منذ 4 سنواتMKIJI BLEACH JIPAKENI HATA MAGOTI MKOROGO 1
@
@lanek816منذ 4 سنواتCheap support ama child support♀️♀️♀️
@shekhafilfil163منذ 4 سنواتBinadamu huwawezi anaesema hivo yeye anayo midomo tu 2
@
@RekhaRekha-es8brمنذ 4 سنواتWashamba mara hijambu mara uleve washamba waemrevurevu shwa na wahindi
@
@mariamukajiru1898منذ 4 سنواتHAWAAMNINIKI HAWA KWAKUONYESHA NYUMBA ZA WATU, WEMA ALISEMA AMEJENGA NYUMBA YAKE 400MIL MWISHO WA SIKU MWENYE NYUMBA KAJITOKEZA NA KUMTUPIA VITU NJE. 3
@
@ntamugabobizi4580منذ 4 سنواتSiwezituma inia bwana waleo naye ajifuze hakiri aje ge ka kuwe ka dogo kake kesho asikose kondi tena wamucheke
@
@sponsor7882منذ 4 سنواتALAFU ANZE KUTUSUMBUA NA HELA KODI MWAKANI.
@
@mwansaflorence6862منذ 4 سنواتHicho ndo ninachokichukia kwako hamisa uongo, Mara umenunua Range kumbe kakodi.
@
@erlinghaaland9412منذ 4 سنواتBaba ako mobeto kiboko kadanga mpka kajenga nyumba yake 3
@
@nurumunguakutangurirabdull4472منذ 4 سنواتnaikweli basi maana wamitaan bado hatujaongea kitu kama kweli tunashukulu 1
@
@aminajuma2981منذ 4 سنواتTutajua tu apo baadae atoe wapi nyumba yake 1
@
@nuurinkluge7584منذ 4 سنواتSome of tansania Women they like only fake life
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Nyumba mpya ya HAMISA mobetto yaibua makubwa Watu hawataki kuamini wanacho kiona: