المدة الزمنية 1:9

DUNIA IMEISHA: MTOTO AMBAKA MAMA YAKE MZAZI, BABU (60) AMBAKA MJUKUU WAKE

بواسطة Wasafi Media
21 022 مشاهدة
0
118
تم نشره في 2021/12/22

Jeshi la polisi mkoa was Dodoma linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 61 mkazi wa kata ya Hogoro wilayani Kongwa Mkoani Dodoma Kwa tuhuma za kimbaka mjuu wake mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la Nne Akizungumza na waandishi wa habari Leo Desemba 22,202i jijini Dodoma kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanaga amesema kuwa tukio Hilo lilitokea katika wilaya hiyo ya kongwa na mtuhumia wa tukio Hilo anashikiliwa na Jeshi la polisi Ili afikishwe mahakamani DUNIA IMEISHA: MTOTO AMBAKA MAMA YAKE MZAZI, BABU (60) AMBAKA MJUKUU WAKE... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 27