المدة الزمنية 6:00

SHABIKI WA YANGA AKIMBIA KWA MIGUU KUTOKA KIGOMA HADI DAR KISA SIMBA NA YANGA “NITATUMIA SIKU 18”

بواسطة Millard Ayo
52 789 مشاهدة
0
207
تم نشره في 2021/04/16

Mwanariadha Mang'suli Hussein (45) Mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ameanza safari ya kukimbia kwa miguu kutoka Kigoma Ujiji hadi Dar es salaam kwa ajili ya kushuhudia mechi ya Yanga vs Simba May mwaka huu ambapo anatarajia kutumia siku 18 kutoka kigoma hadi Dar es Salaam kuanzia jana April 15. Mwanariadha huyo amesema amewahi kukimbia kutoka Kigoma kwenda Kasulu (KM 95) kwa miaka mitano, na baadaye akakimbia kutoka Kigoma kwenda Tabora (zaidi ya KM 400 ) na sasa ni zamu ya Dar es salaam (zaidi ya KM 1200). Amesema lengo lake ni kwenda kushudia mchezo huo wa Watani wa Jadi lakini pia akilenga kuimarisha kipaji chake cha kukimbia na kuvunja rekodi ya kukimbia umbali wa KM zaidi ya 1000.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 91