MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA"
Muigizaji wa filamu Bongo, Mwijaku, ambaye kwa sasa anatamba na tamhiliya yake ya 'Mahaba', amepiga stori na Global TV na kuizungumza tamhiliya yake pamoja na soko zima la filamu...
Mwijaku pia amezungumzia kuhusiana na ndoa ya mwanamuziki Alikiba inayodaiwa kuvunjika, akiwa kama mtu wa karibu na Kiba, amesema ndoa hiyo haijavunjika isipokuwa kuna migogoro ya hapa na pale inayosababishwa na mwanamke huyo kutokubaliana na ukweli kwamba mumewe ni supastaa wa dunia...
#MWIJAKU #ALIKIBA
/playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
@rahmaismikhan2622منذ 5 سنواتMwijaku you a the hammer that nails exactly where its supposed to be.we ni mwalimu,You inspires me brother. Lots of love from Kenya 8
@
@ingabireflavia9329منذ 5 سنواتMwijaku i love the way you reason your the only tanzanian sofar who talks his mind, like your realness,your boldness you dont sugar coat wrong doers big up bro. 4
@
@ibrahimbashir4778منذ 5 سنواتMwijaku King Kiba Original, Afu Hafichi Kabisa, That's What We Call Love 27
@
@christophersoty101منذ 5 سنواتJamaa änäongea ukweli ila Hakuna anayekubalika na woote binafsi nimemuelewa sana big up mwijaku 34
@
@vitalesgalus8004منذ 5 سنواتbroo mwijaku kifupi unajua kuelimisha Jamii upo good big up sana ukwelri diamond shida anatamaha sana ukwelri hakuna binadamu mkamilifu kizazi sana dingi hooooooooyoooo 15
@
@amidumahoro2783منذ 5 سنواتHuyu jamaa niwakueshim na anajieshim na anajielewa big up bro endelea kutuelimisha 23
@
@ericklibaba1198منذ 5 سنواتInterview za Mwijaku ni hatari. Hasa akigusa mambo ya Mahusiano aaaah 3
@
@nicksonmgale4699منذ 5 سنواتAliyemuelewa kama Mwijaku ni team kiba gonga like 271
@kwilabyalulyehohenry260منذ 5 سنواتUmegusa point bro mpaka iishe dunia hatatokea binadamu mkalifu hiyo pointing. 17
@
@mdmubrak8152منذ 5 سنواتKama unaangalia enter view ukuunasoma comment gongalike twende sawa 412
@
@mussahamissimba6889منذ 5 سنواتKuna filam Kali sana maneno ya kuambiwa ni Kali 4
@
@lydiathadeous6644منذ 5 سنواتNakukubaliiii sanaaa ila sio patient ni PASSION 2
@
@cleosaferista4255منذ 5 سنواتBro salut kweli, unachokiongea ni ukweli. Congratulations from BURUNDI !!! 3
@
@worldstartzمنذ 5 سنواتMwijaku yuko vizuri kwenye kazi, Sema anazingua 4
@
@mhehearمنذ 5 سنواتUko vizuri sana na nimeikubali maneno yako 80% safi sana 15
@
@mussakizingiti3552منذ 5 سنواتkama kuna mtu anaijua tamthilia iitwayo MANENO YA KIAMBIWA gonga like mazeee twende sawa 90
@
@mohammed.alghurabaa9266منذ 4 سنواتDUUU HAPO KWA HOFU YA ALLAH S.W..NIKWELI MWIJAKU.HOFU NI DINI SALUT MWIJAKU 1
@
@Mzee_Kobe254منذ 5 سنوات1st time kumwona Mwijaku.. that guy is real, but usiyataje majina ama ukazoea kuwaongelea hao wasanii wa kibongo, iyo tamthilia nitaanza kuiangalia hope id="hidden3" class="buttons"> iko YouTube, nice pushing African cinema na roho safi. following from Seattle, WA ....وسعت
@
@kacheali4777منذ 5 سنواتNakubali ulivyo ongea kuhusu mavaz ya waigizaj kuvaa vibaya ,tabia za Diamond Mungu wasaidie wawe n hofu ya Mungu 8
@
@hamisiharuna3099منذ 5 سنواتUkijisifu sana mwisho unajisifia ujinga, kwa bongo kwa sasa hakuna tamthiria kama maneno ya kuambiwa by kitale 7
@
@onyinyeclara7410منذ 5 سنواتMmh mzee baba unajua mambo ya watu weyee hataree
@
@zizinezuzu8579منذ 5 سنواتtamthiliya ya MANENO YA KUAMBIWA ndo namba one in TZT hakuna kama KITALE 183
@
@halimasssomar8793منذ 5 سنواتMwijaka Una jisifia sana Bana.kuna maneno ya kuambiwa ina pedwa ajabu.sidhani kama umeifikia iyo thamthilia ya maneno..ebu tafuta mda uifatilie.mm naipenda Sana maneno
@
@salomegeorge7027منذ 5 سنواتWabongo kwa umbea ni namba moja..Mlibarikiwa kuchunguzana mpo 1
@
@beatricejoseph3537منذ 5 سنواتMwijaku Mimi nakupendaga tuu mambo yako 4
@yusuphmussa6589منذ 5 سنواتLive kaka ndugu yangu wa kazulamimba Me wa nyamoli kigoma 2
@
@geeva99منذ 5 سنواتseriously huyu jamaa ni most entertaining guy in tz right now dah mecheka sana 1
@
@andygal5605منذ 5 سنواتI'm floating,hii Kiswahili YA tz Ni tafash 1
@
@salvatorysamson3341منذ 5 سنواتujaona Maneno yakuambiwa ww kaa kimya iyo mahaba mavi tuu 14
@
@jescajacob4445منذ 5 سنواتMwijaku kaka angu mi nakupenda sana uigizaji wako sana napend sana kuna vitu unanifundisha ila mimi naweza kuigiza mahaba ya mke na mume sehemu nyingi sana naweza
@
@eliasjames148منذ 5 سنواتSizan kama kwa sas kuna kitu kama MANENO YA KUAMBIWA aseee 5
@
@paulmafuru7283منذ 5 سنواتHapo nimependa kauli yako ulosema no one is perfect so ngoja tu nimrudie Dem wangu alonisalit 19
@
@uwingeneyeshadia7697منذ 5 سنواتUsijisifie uyo mtoto humjuwi uliza kwanza kwani aliye kudanganyana km tamthilia yako ninzuri kuliko zingine nani acha kuji proud bwana, km maneno ya kuambiwa id="hidden6" class="buttons"> ilisha tupagawisha sana big up my brother kitale nakupenda kufa ntakuja na mm niigize na ww ....وسعت1
@
@missmoona4497منذ 5 سنواتNimefurah kusikia kiba bado yuko na Amina duuuh niliyo yasikia talaka 3 duuuh wa Tz shikamoni 93
@
@habibasalim3092منذ 5 سنواتVizuri kabisa brother that was my thoughts
@
@songajr8962منذ 5 سنواتMwijaku aisee una majivuno Sana shikamoo waha
@
@gamechanger9646منذ 5 سنواتTamthilia ya mahaba ni moto kwa kweli from 254
@
@kytetmackam6669منذ 5 سنواتKama nawe unamkubali mwinjaku gonga like hapaaaa 74
@
@com_sci123منذ 5 سنواتI luv u mwijaku kweli ali kiba ni star duniani
@
@faizadulla8663منذ 5 سنواتMwikaju namjulia kofia ana sema ukweli mtupu na ni muelewa
@innallahmaaswabirin293منذ 5 سنواتMwijaku, that girl ISIMBI she is very serious i m telling you. I support her from 29
@
@ladymashaallahilikeuaadvis997منذ 5 سنواتJamani mm kaka mwijaku huwa nakukubali sana,lkn naomba ujue kiba pia alizaa nnje na wanawake tofauti 30
@
@aminamgaya7511منذ 5 سنواتHivi mwijaku ushawahi kuangalia maneno ya kuambiwa ww au unaropoka tu 5
@
@bakarimngazija6672منذ 5 سنواتEndeleeni kutusaidia katika maisha ya kila siku Na vijana wetu. 2
@
@ilhammshana234منذ 5 سنواتNamkubali mwijaku lkn kitendo cha kusema tz hakuna tamthilia ispokua "mahaba" hiyo nasema hapana yan hata maneno ya kuambiwa bro??? 10
@
@rosemakange8163منذ 5 سنواتHofu ya mungu ni kweli wale watoto kuwanyima raha ya baba mungu anamuona!!! 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA:
binafsi nimemuelewa sana big up mwijaku 34
Me wa nyamoli kigoma 2