المدة الزمنية 19:8

Makosa Yanayopelekea Vifaranga Wengi Kudumaa

بواسطة Kuku Village
16 755 مشاهدة
0
99
تم نشره في 2020/11/10

Habari, Mwana Kuku Village leo ninakuletea mambo mbali mbali yanayopelekea Vifaranga Wengi kudumaa hivyo kuathiri Ukuaji, uzalishaji na hata faida katika biashara ya ufugaji. baadhi ya mambo hayo ni pamoja na 1. Kuchanganya Vifaranga Wa umri tofauti 2. Chakula kuwa Na ubora hafifu na mengine mengi fuatilia mpaka mwisho karibu.....

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10