المدة الزمنية 33:8

RAISI SAMIA awajibu kwa Kishindo MAASKOFU Wakatoliki kupitia Risala yao/Afufua matumaini Mapya.

بواسطة Breez Online Tv
25 404 مشاهدة
0
102
تم نشره في 2021/06/25

Ni kwenye mkutano wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania ORIGIONAL SOURCE: TUMAINI MEDIA #BreezOnlineTv​ #KmK #Makuburi Breez Online Tv S.L.P 38655 Dar Es Salaam Tanzania Phone No: +255 756494796 Barua pepe: izackbreez11@gmail.com Mitandao Mingine ya Kijamii: Facebook: breez online Tv Facebook Link: https://www.facebook.com/Breez-Online .. Instagram:Breez Online Tv

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 49
  • @
    @benderarulenge8898منذ 3 سنوات Barakoa ni mhimu,jisaidie ndiyo mungu atakusaidia.muache kupotosha wananchi ukiacha kuvaa ni wewe usiwasemee wengine. 1
  • @
    @francicbeda5603منذ 3 سنوات Hoongelaaa mungu nawe daimaa sikuzote za maisha na pia kuliongoza taifa letu 1
  • @
    @thomasbutingo17منذ 3 سنوات Tunakupend xn Mama yetu Rais wetu Mwenyez Mungu akulinde akuangazie kila ufanyalo ili utufikishe Watanzania mahala pazur naamin ni swala la muda hatuna shaka 1
  • @
    @bishopkatunzi4892منذ 3 سنوات Amen!! Amen hakika wewe ni kiongozi bora mwenye hekima!! 3
  • @
    @alicejacob5600منذ 3 سنوات Umesoma vyema mama kinga yetu ni Mungu mwenyewe. Hatuna kinga zaidi ya MUNGU. 2
  • @
    @nobertjoseph5207منذ 3 سنوات Mama kaz nzur lakn mi nakuxhaur usikubar chanjo kwan madhar yake makubwa badae hyo ni biashara za watu wasiopenda wananchi 1
  • @
    @magrethmallya7728منذ 3 سنوات Tunakupenda sana Raisi wetu. Pongezi nyingi kwako Mama. Kazi ziendeleeeee. 2
  • @
    @yohanaosiligimoikan7134منذ 3 سنوات Amani hakuna ndani ya nchiii hiiii sababu ya mikopo yenye kuleta njaa na madawa ya kulevya, na wiziii??? 1
  • @
    @emanuelipeter2923منذ 2 سنوات Mama MUNGU akulingmde m
    Kwakujua yakwamba yeye ndo Kinga yako kutembea pamoja ndo utume MUNGU alituachia
    1
  • @
    @emanuelipeter2923منذ 2 سنوات Wengi watakusema kwa mabaya lakini piya kuna mazuri piya wasiseme mabaya tu hakuna mtu asiekua na kosa katika dunia hiii
  • @
    @stephenmwanisenga7068منذ 3 سنوات Mama tusaidie kwenye tahadhali dhidi ya ugonjwa wa korona maana kwa sasa ukiingia ofisi yoyote ya Serikali unatakiwa uvae barakoa lakn daladala wanajaza id="hidden2" class="buttons"> sana abiria kwenye magari tunaomba utusaidie mama ili kuepuka maambukizo ya kizembe ya korona ....وسعت 2
  • @
    @epifaniamilinga2848منذ 3 سنوات Nashukuru umejibu kwa hekima.shule za dini,gharama zipo juu Sana.wajinga hawachukui.kosa dogo mwanafunzi anafukuzwa.hawana huruma hata kidogo.kwa maadili id="hidden3" class="buttons"> wamefaulu.serikali ina mung u.kuliko makanisa.hosptali zao,zilikuwa nzuri chini ya wazungu.mfano hosptali ya ikonda makete.wagonjwa wanakimbilia kuliko mhimbili.mzungu yupo vizuri.wakishika ngozi nyeusi.wanafikiria maslahi zaidi.hivyo rais usiamue kwa haraka ....وسعت 1
  • @
    @happinessmwenda2773منذ 3 سنوات YAANI SIJUI TULICHELEWA WAPI KUPATA RAIS MWANAMKE.YAANI MAMA WEWE NDIO KILA KITU MUNGU AKULINDE KWA AJILI YETU. 3
  • @
    @zegelibilishanga4761منذ 3 سنوات Kwenye shule kuna ufisadi,mkubwa wasikuingize mkenge,
    Kayafanyie kazi,kwa uangalifu mkbws
    1
  • @
    @ambroschristian4172منذ 3 سنوات Yaone na mibarakoa kama mipepo mnawatia hofu wananchi ili waogope eti kuwa kunakorona mtakufa wenyewe na mibarakoa uongozi sio lelemama subilini 2
  • @
    @masalumaduhu7968منذ 3 سنوات Jikumbushe hotuba za aliekuwa rais wako, kabla ya kuifufua miradi aliyokuwa ameikataa mfalme wetu, ukiendelea na ushauri wa Msoga ccm watakiona cha moto id="hidden4" class="buttons"> 2025 hujapigiwa kura na mtu ugumu wa kupigiwa kura utauona kwenye uchaguzi ujao. R.I.P. JPM pumzika kwa amani baba yetu. Sasa hivi tunajiandaa kuchanjwa uliyoyakataa sasa ndio kipaumbele cha awamu hii ya nne. ....وسعت 1
  • @
    @stephenmwanisenga7068منذ 3 سنوات Mama tusaidie kwenye tahadhali dhidi ya ugonjwa wa korona maana kwa sasa ukiingia ofisi yoyote ya Serikali unatakiwa uvae barakoa lakn daladala wanajaza id="hidden6" class="buttons"> sana abiria kwenye magari tunaomba utusaidie mama ili kuepuka maambukizo ya kizembe ya korona ....وسعت 2
  • @
    @epifaniamilinga2848منذ 3 سنوات Nashukuru umejibu kwa hekima.shule za dini,gharama zipo juu Sana.wajinga hawachukui.kosa dogo mwanafunzi anafukuzwa.hawana huruma hata kidogo.kwa maadili id="hidden7" class="buttons"> wamefaulu.serikali ina mung u.kuliko makanisa.hosptali zao,zilikuwa nzuri chini ya wazungu.mfano hosptali ya ikonda makete.wagonjwa wanakimbilia kuliko mhimbili.mzungu yupo vizuri.wakishika ngozi nyeusi.wanafikiria maslahi zaidi.hivyo rais usiamue kwa haraka ....وسعت 1
  • @
    @masalumaduhu7968منذ 3 سنوات Jikumbushe hotuba za aliekuwa rais wako, kabla ya kuifufua miradi aliyokuwa ameikataa mfalme wetu, ukiendelea na ushauri wa Msoga ccm watakiona cha moto id="hidden8" class="buttons"> 2025 hujapigiwa kura na mtu ugumu wa kupigiwa kura utauona kwenye uchaguzi ujao. R.I.P. JPM pumzika kwa amani baba yetu. Sasa hivi tunajiandaa kuchanjwa uliyoyakataa sasa ndio kipaumbele cha awamu hii ya nne. ....وسعت 1
  • @
    @stephenmwanisenga7068منذ 3 سنوات Mama tusaidie kwenye tahadhali dhidi ya ugonjwa wa korona maana kwa sasa ukiingia ofisi yoyote ya Serikali unatakiwa uvae barakoa lakn daladala wanajaza id="hidden10" class="buttons"> sana abiria kwenye magari tunaomba utusaidie mama ili kuepuka maambukizo ya kizembe ya korona ....وسعت 2
  • @
    @epifaniamilinga2848منذ 3 سنوات Nashukuru umejibu kwa hekima.shule za dini,gharama zipo juu Sana.wajinga hawachukui.kosa dogo mwanafunzi anafukuzwa.hawana huruma hata kidogo.kwa maadili id="hidden11" class="buttons"> wamefaulu.serikali ina mung u.kuliko makanisa.hosptali zao,zilikuwa nzuri chini ya wazungu.mfano hosptali ya ikonda makete.wagonjwa wanakimbilia kuliko mhimbili.mzungu yupo vizuri.wakishika ngozi nyeusi.wanafikiria maslahi zaidi.hivyo rais usiamue kwa haraka ....وسعت 1
  • @
    @masalumaduhu7968منذ 3 سنوات Jikumbushe hotuba za aliekuwa rais wako, kabla ya kuifufua miradi aliyokuwa ameikataa mfalme wetu, ukiendelea na ushauri wa Msoga ccm watakiona cha moto id="hidden12" class="buttons"> 2025 hujapigiwa kura na mtu ugumu wa kupigiwa kura utauona kwenye uchaguzi ujao. R.I.P. JPM pumzika kwa amani baba yetu. Sasa hivi tunajiandaa kuchanjwa uliyoyakataa sasa ndio kipaumbele cha awamu hii ya nne. ....وسعت 1