المدة الزمنية 21:36

Kunywa maji Lita hizi. Maji mengi husababisha ganzi,Moyo kupanuka na Kupungukiwa madini ya Chumvi

بواسطة Dr Boaz Mkumbo MD
92 947 مشاهدة
0
665
تم نشره في 2020/03/01

Ushawahi Kuambiwa maji baridi yanagandisha mafuta mwilini? Ushawahi kuambiwa unatakiwa unywe maji lita nne na zaidi eti kwa sababu una uzito wa kilo zaidi ya 100? Je hili ni sahihi kwa wote? Tizama somo hili

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 138
  • @
    @salomeconstantine4702منذ 4 سنوات Dr, mi nasumbululiwa na presha ya kupanda miaka mitano sasa na ilitokana na uzazi na huwa inanisumbua sana japo natumia dawa, likaja kujitokeza tatizo id="hidden1" class="buttons"> lingine la kubeua, yaan nabeua sana nikapima vipimo kuangalia km nina vidonda vya tumbo lakini sina, nimetumia dawa za gesi mpaka nimeamua kuacha kuzinywa maana tatizo lipo palepale, niwe nimeshiba niwe na njaa, usiku au mchana napata shida na mpaka sasa nipo tu sina suluhisho lolote na ugonjwa huu. Nimekata tamaa tafadhali naomba unisaidie kama ukisoma message hii please. Sina raha na maisha kabisa ....وسعت 3
  • @
    @erastobefoodproductsمنذ 4 سنوات Safi Sana Dr nimejifunza ubarikiwe Sana. 2
  • @
    @saudmohammed3390منذ 4 سنوات Kazi nzuri Mkumbo
    Mungu akubariki saaana
    Nimekufahamu vizuri
    1
  • @
    @MaryNjoroge-bh7ccقبل 10 أشهر Shukrani sana Daktari kwa ushauri wako 1
  • @
    @asyaasya3766منذ 3 سنوات Shukran doctor kwa kutuelimisha hatukua tunajua hilo 1
  • @
    @fatmakombo7584منذ 4 سنوات Shukran docktar elimu uliotupa ni nzur sana 1
  • @
    @maureenjovial6083منذ 4 سنوات Shukran sana daktari nimepata kuchua sasa
  • @
    @franciscowilliam2575منذ 4 سنوات Shukrani Sana nilikua nayahisi maji kua ni suspect muda mrefu Sana Ila nilikua Sijui kwasababu zipi. Umefafanua vizuri Sana imeeleweka. Mimi na familia yangu tutaanza kufuatilia rasmi mafunzo uliyotoa , Barikiwa sana 2
  • @
    @noelmarapachi1808منذ 4 سنوات Mungu Akubariki Dr. Mkumbo kwa kufungua channel hii 1
  • @
    @fundieddy9164منذ 4 سنوات Duh!
    Tunywe maji kwa kufuata kiu na hali ya afya tuliyonayo, siyo kufuata 'fomula' za kwenye makopo ya maji ya wafanyabiashara.
    Ni id="hidden3" class="buttons"> mafundisho mazuri ya kitaalam, yaliyoelezwa kwa njia inayoeleweka mno.
    Asante sana Dr. Boaz.
    Mungu akubariki sana.
    ....وسعت 8
  • @
    @salmaamiry7674منذ 2 سنوات Nakubali sanaa dokta mie nilifanya hilo jaribio na mda nijilazimisha kunywa maji ningali sina Kiu na Bado nanenepa ila baada yakufanya mwili unavyotaka basi napata matokeo mazuri tu
  • @
    @ashashabani4402منذ 4 سنوات Mara tunywe maji mengi!!mara ni hatar eeeh? Jamani 3
  • @
    @mary.matullu8279منذ 4 سنوات Nakubaliana na wewe.
    Big up. Kunywa maji ukiwa na kiu
  • @
    @rosejohnsadock1559منذ 3 سنوات Kazi nzuri dokta ila mom Nina tatizo LA chunusi mwilini nisaidia jinsi ya kuondoa au nitatizo gain hili
  • @
    @kijajoseph8592منذ 4 سنوات Yes , kunywa maji mengi ni madhara Tena daaa 1
  • @
    @OmanOman-zc5dtمنذ 4 سنوات Doktar nipenambar yako ili nipate ushauli zaidi 3
  • @
    @rehemashebanikasenge5138منذ 4 سنوات Jee mm nakunwa maji yakiwa moto kiasi hivi nisawa coz mm ni mgonjwa wa thyroids nimeacha kula dawa za thyroids for 3mths now but nime kuwa na weight kubwa 80 nisaidie advise
  • @
    @mamakonkimamakonki4901منذ 4 سنوات Docta mimi Nina presha ya kupanda naweza kunywa maji kiasi gani kwa siku, na nifanye nini ili nipunguke 2
  • @
    @aishamawalla733منذ 4 سنوات Doctor jibu comment jamani site tupate faida 2
  • @
    @hassankipalalah5422العام الماضي Dr unanishauri nini kuhusu biashara ya juisi ya matunda na juisi ya miwa niifanyeje ili iwe bora?
  • @
    @macscotty3409منذ 3 سنوات Doctor nashida na no.zako Asee unisaidie
  • @
    @alidaniel4531منذ 4 سنوات Dk mie figo yangu inavijiwe vidovido je nini chanzo na nini solushani yake? 1
  • @
    @ashajuma6432منذ 4 سنوات Dr B. Nina uzito wa 105 nifanyeje ili nipungue 2
  • @
    @yengeselemanikiza1484منذ 4 سنوات Ni kiasi gani cha maji ambacho ni kizuri kwa siku kwa mgonjwa wa type 2 ya kisukari 1
  • @
    @westonmbuba6421منذ 4 سنوات Mimi najua ukiona mkojo umekuwa wa njano sana ndo unywe maji 1
  • @
    @omyhermit-ki1ioقبل 5 أشهر Mnatuchanganya nynyi madaktar asa tumuamini nan
  • @
    @tunsumemwajumba7149منذ 2 سنوات Nikipata kiu ya maji usiku naweza kunywa? 1
  • @
    @alicbenezeth194منذ 4 سنوات Mm Niko na kg45 je nashauliwa nitumie maji kias gan
  • @
    @richardjonasi6698العام الماضي Mm namaliza siku 5 tu maana sierewi kabisa
  • @
    @phebibedon7634منذ 4 سنوات Jamaniii ma Dr. Kibaoo wanatushauri tunywe maji tena tusisubilii kiuu! Huyu piaaa anasema tusinywee mpaka kiuuu! Mhuu mnatuchanganyaa! Na vpi mikoa yenye id="hidden6" class="buttons"> baridi mtu huwa hasikiii kiuuu sasa si atakaaa mwez bilaa kunywa maji? Je itakuwa Sawa kweli kiafyaaa?? Daaaaaaa me Mnanichanganyaaa Tu hapaaaa ....وسعت 2
  • @
    @babyhamisi5331منذ 4 سنوات Wengine wanasema tunywe maji bila kipimo maji hayana madhara, Wengine wasema maji kwa kiwango, mungu tusaidie 19
  • @
    @user-jp5yy6kb9hقبل 10 أشهر Mm nina kilo 95 nakunywa maji lita 4 je inafaa 1
  • @
    @mariaemmanuel9494منذ 4 سنوات Dr. Nifanyeje nipungue maana nina uzito mkubwa na tumbo kubwa 1
  • @
    @EliechiKimario-bv1gzقبل 4 أشهر Ki ufupi madaktri wa mtandaoni mnatuchanganya bhanaa we unasema hayafai wengine wanaelezea yanafaa tufwate lipi watu ni asantee docta tu wamechanfanyikiwa
  • @
    @neemagoodluck6274منذ 4 سنوات dr nina hiyo shida ya kujaa miguu na kupumua kama nataka kufa ,nifanyeje 1
  • @
    @rachealkitawa2153منذ 4 سنوات ndio asante kwa mafunzo ila tusipo kula ivyo vyakula tule nini wakati vyakula ivyo ndivyo viko katika jamamii inayo tuzunguka
  • @
    @lucydavid3582منذ 4 سنوات Dr mim moyo unanishutuk xn na ninauzito wa 80 naomb ushauri wako maji ninjwe lita ngapi kwa siku naomb unisaidie plz 3
  • @
    @kavishevicky1816منذ 4 سنوات Mungu tu atusaidie kila MTU anasema lakwake . 5
  • @
    @hadija846منذ 2 سنوات Asante sana dokta mimi ninaupungufu wa homon kwa sasa nakunywa dawa ya homon na nilikuwa nakunywa maji mengi miguu imevimba tumbo ni kubwa na unene sipunguwi id="hidden8" class="buttons"> kwa sasa nitajitaidi kuto kunywa maji mengi shukran Mumngu hakubariki ....وسعت
  • @
    @faridhassan2308منذ 4 سنوات Sasa nimekuelewa dokta Nina uzito wa 120kg na kila nikijitahidi kupungua sipungui hata nifanye nini,ila leo nimejuwa kuwa sababu ni unywaji maji kwa kufuata id="hidden9" class="buttons"> fomula,nakunywa maji mpaka lita sita kwa siku,sipungui hata nikifanya nini,nikaanza kuhisi kuwayawezekana maji yananinenepesha pia,nakontroo chakula ,mafuta na sukari pamoja na mazoezi,lakini sipungui.
    Asante naanza leo kufanyia kazi hiyo hali.
    ....وسعت 1
  • @
    @bernadethaprosperمنذ 4 سنوات Nahitaji kuongea na ww hata kwa simu kuhusu topic ya maji
  • @
    @saumuseif9189منذ 4 سنوات Shukran ila wengine wanasema tunywe majimengi 2
  • @
    @annamlaponi9454منذ 4 سنوات Hongera kwa kazi njema Dr.ila swali langu MTU mwenye shida ya mawe kwenye figo au shida ya figo,na INI kuzungukwa na mafuta,je anaruhusiwa kula hizo nyama ambazo ndo unatusisitiza tule? 2
  • @
    @annajustine5104منذ 4 سنوات Ahsante sana doctor, je na mtu anayesumbuliwa na presha anatakiwa anywe maji kiasi gani kwa siku?
  • @
    @zainabmmapala8073منذ 4 سنوات Mm ni mwembamba na hata sifiki uzito wa kilo 50 na tatzo la ganzi ndy langu. Kla sehem ya mwili an ,,, na hua linatokae Mara kwa Mara,, nisaidie ufumbuz hapo 1
  • @
    @officialtunumziwanda3281منذ 2 سنوات Akili zakuambiwa ongeza na zako usinywe maji mengi utakapo tundukiwa drp la maji hospital utajua hujui mbuzi nyie
  • @
    @henriettenkuba7078منذ 4 سنوات Ntakufwata Sana lakini point sipate.yani sipate jibu sahihi la swali
  • @
    @khneesajumaa2052منذ 4 سنوات Twambie ni vyakula gani vya kuepuka kula mala kwa mala 3
  • @
    @janetisamson3735منذ 4 سنوات Na kama unatatizo la kisuka unatakiwa kunywa maji kiss gan
  • @
    @bensonlucas7607منذ 4 سنوات somo zuri sana ila punguza kiswa_english kingi.
  • @
    @ms.independent8934منذ 4 سنوات kwaiyo tunywe maji kidogo? maana mtu akienda hospital tuna ambiwa tunywe maji mengi na ww unasema tusinywe maji mengi. sasa hatu waelewi 1
  • @
    @ms.independent8934منذ 4 سنوات Dr. unapatikana wapi kio offc? maana mm nina matatizo ya haja kubwa mm sio mnene ila nina presha pia na nimeambiea nile mboga za majani na matunda na maji mengi ila ningependa nijuie zaidi kitaalam kuhusu maradhi yangu hao 1
  • @
    @neemamwaijegha2109منذ 3 سنوات Mimi kuna nes aliniambia ninywe maji lita tano kwa siku nilikua mja mzito kwahiyo uzito uliongezeka sana. Nilimwambia nakunywa lita mbili na nusu alinigombeza id="hidden13" class="buttons"> sana.
    Nikaanza kunywa kwa kujilazimisha mpaka nimalize lita tano. Nilipo jifungua nikaanza kupumua kwa shida sana. Nimeenda hospital nikaambiwa moyo umetanuka. Nimeumia sana. Hata sijui kama nitamona
    ....وسعت 1
  • @
    @sele2507منذ 4 سنوات Mtu anywe Lita ngapi Sasa?hujapangilia speech yako doctor,Yan mi sijapata suluhisho kaba 2
  • @
    @irenemmasy79منذ 2 سنوات Mimi nakaaga wiki nzima siskii kiu wananilazimishaga ninywe maji mengi asante dokta umenisaidia Leo nimejua 2
  • @
    @rosekisanga8089منذ 3 سنوات Napenda kutumia maji mengi kila siku sasa nimepata tatizo la kuhisi kushindwa kupumua nitumie dawa gani