🚨Coach Thierry Hitimana amevunja mkataba wake na klabu ya Simba kama Kocha Msaidizi baada ya makubaliano ya pande zote mbili
🚨Kila kitu kimeenda sawa mchana huu kwenye Afisi za Simba, Masaki Dar Es Salaam na sasa Hitimana yupo huru kujiunga na timu yoyote
All the best Coach
#SimbaSc
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على RASMI KOCHA SIMBA SC AVUNJA MKATABA WAKE BAADA YAKUKUBALIANA NA SIMBA | ALL THE BEST COACH HITMANA: