المدة الزمنية 6:12

Maisha peupe: Kuishi na virusi vya ukimwi

بواسطة KTN News Kenya
17 938 مشاهدة
0
44
تم نشره في 2012/08/19

http://www.ktnkenya.tv Kumbukumbu ya namna alivyojipata katika hali aliyo nayo sasa inamtoneshea kidonda chake....lakini kuambukizwa virusi vya ukwimi japo imekuwa pigo kubwa kwake,charity muringo anasema hajakata tamaa ya kuishi na kukabiliana na makali ya ugonjwa wa ukimwi wenzake caroline na alice pia wameambukizwa virusi vinavyosababisha ukimwi kiasi cha kutaka kujiua lakini sasa wamebadili nia,watajifunga vibwebwe .katika makala ya maisha peupe jumapili hii, mwanahabari carol nderi anatujuza zaidi kuhusu zaidi kuhusu wanawake hawa na ari yao ya kukabiliana na changamoto za kiafya

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 11