المدة الزمنية 6:59

Jinsi ya kuanzisha biashara (business) ya unga wa sembe Medium

8 827 مشاهدة
0
117
تم نشره في 2019/04/17

Video hii inaeleza mambo 12 ambayo ni ya muhimu kwa #mjasiriamali anayetaka kuanzisha biashara (#business) ya unga wa sembe. Mambo kama upatikanaji wa mahindi, #bei za mahindi, aina bora za mahindi, upatikanaji wa mashine za kukoboa mahindi na kusaga unga, #mtaji wa kuanzisha biashara, #soko la biashara ya unga na kadhalika yafaa yapatiwe ufumbuzi kabla ya kuanza biashara. Sasa unaweza kununua vitabu vyetu vya ujasiriamali na bidhaa nyingine kupitia duka letu la online https://tanbusiness.myshopify.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 20