المدة الزمنية 8:18

FAHAMU MBINU YA KUONDOA MAUMIVU YA KICHWA KWA DAKIKA 5 BILA KUTUMIA DAWA | Radi Ibrahim Nuhu

بواسطة Radi Ibrahim Nuhu
13 129 مشاهدة
0
255
تم نشره في 2021/08/29

SUBSCRIBE : /channel/UCRIlohC4_mOWN-eQs3QFnAg Jinsi ya kutibu maumivu ya kichwa kwa dakika 5 bila kutumia dawa za kutuliza maumivu| Acuppressure Unapoumwa kichwa na dawa unayohitaji inapokosekana hali inakuwa ngumu zaidi ,kwa haraka watu wengi hukimbilia kutumia madawa ya kutuliza maumivu ambazo si mara zote na wakati wote tunaweza kuzipata ,lakini unafahamu kama ipo njia nyingine inayoweza kuwa tiba bila kutumia madawa ,ukizingatia kuna tafiti zimefanyika na kugundulika kuwa watu wengi wamekuwa warahabu wa madawa hayo baada ya kuyatumia kwa muda mrefu. njia hiyo ya kupona maumivu ya kichwa bila dawa inaitwa Acupressure, na Leo Radi Ibrahim Nuhunitakuelezea kuhusu njia ya kupona kichwa kwa uharaka bila kunywa dawa,na kwa hakika itakusaidia kuondoa maumivu ya kichwa kwa uharaka na kwa usahihi, Naomba maoni yako katika comment juu ya tiba hii , pia naomba ulike video yetu kama sapoti yako ,itasaidia sana channel yetu kukua, #radiibrahimnuhu #acupressure #akili #tambua Radi Ibrahim Nuhu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 21