المدة الزمنية 8:23

Wasichana Walioacha Shule Kisa Mimba Wafunguka Baada ya Serikali Kutengua Marufuku ya Kutorudi Shule

بواسطة The Chanzo
177 مشاهدة
0
9
تم نشره في 2021/12/02

Kufuatia hatua ya Serikali kutangaza kwamba sasa wasichana wanaolazimika kukatisha masomo yao kwa sababu ya ujauzito wataruhusiwa kuendelea na masomo yao kwenye mfumo rasmi wa elimu baada ya kujifungua, The Chanzo imezungumza na baadhi ya wasichana waliowahi kukutwa na kadhia hiyo kupata mtazamo wao kuhusiana na hatua hiyo. #TheChanzo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1