المدة الزمنية 21:56

Rais Magufuli aagiza kusitishwa utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa Machinga mkoani Mwanza.

بواسطة ITV Tanzania
47 584 مشاهدة
0
163
تم نشره في 2016/12/06

Rais John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri na Katibu Mkuu (TAMISEMI) juu ya kusitisha mara moja utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo "Machinga" katika Jiji la Mwanza mpaka mamlaka husika itakapokamilisha maandalizi ya maeneo watakapohamishiwa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 40
  • @
    @umranim5854منذ 7 سنوات wasaidie baba wanyonge na mungu atakusaidia mungu amesema mtizame wa chini na wa juu atakutizama wewe watu wakiwa na kazi wataacha wizi mungu ibariki tz 2
  • @
    @dativadaud4300منذ 3 سنوات baba ,tukupate wapi !natamani ufufuke! 2
  • @
    @jeremiasirong6902منذ 7 سنوات safi San mheshimiwa raisi,,,wew ndo rais tuliyekuwa tunamhitaji 1
  • @
    @masubifaustine7716منذ 7 سنوات Mungu akujalie halo umenena ila kwa bashte bado cjackia
  • @
    @umranim5854منذ 7 سنوات Uliwapa amana na amana hawajui kuitumia cheo ni dhamana wambiie baba hongera sana 1
  • @
    @mamymamy8971منذ 7 سنوات yani raisi magu nakupenda mpaka nasikia kizunguzungu wewe ndio mtetezi wawanyonge mungu akulinde na fitna za maadui akupe umri mrefu na afya njema 1
  • @
    @abdallamabrouky340منذ 8 سنوات MUNGU akubariki raid.wetu mpendwa
    e
    2
  • @
    @omarymbalala6224منذ 7 سنوات kwamara yakwanza umeongea jambo ambalo kila mtu limemfrahisha 2
  • @
    @suleimanhussein1487منذ 7 سنوات namkuli sana raisi wetu makufuli chapa kazi baba na m, mungu atakupa nguvu cjapata kuona raisi km makufuli ni hodari sana tuko nyuma yako raisi wetu kipenzi unaojali wanyonge
  • @
    @rahyaomari8211منذ 8 سنوات nampenda sana rais wangu mungu akupe maisha marefu 2
  • @
    @petermoshi31منذ 8 سنوات Raisi magufuri uishimaisha malefu kwa kutetea wanyonge
    2
  • @
    @zuuniece6635منذ 7 سنوات Leo umenena pk nimekuelewa bgp kwako mkuu
  • @
    @allexlunny7795منذ 7 سنوات umeongea kweli mkuu maskini tunakutegemea .karibu na mikoa ya nyanda za juu kusini useme neno
  • @
    @mwemezibarnabascharles5412منذ 7 سنوات naanza kuamini kuwa washauri wa makubwa ni wanafiki na wanampotosha mkuu chungulia elimu na mpango wa madawati
  • @
    @mariamhadija7236منذ 8 سنوات tuna kuombea raisi wetu uishi miaka 1000 Wew raisi wa wanyonge Wew ndy mkombozi wetu 3
  • @
    @aminaamry2252منذ 7 سنوات kweli baba nimekuelewa vizur wee ni tais wawa nyonge lakin bado muheshimiwa tunaomba utamke juu ya vyet hewa maana kuna watu wamefukuzwa kazi ikiwa majukumu id="hidden3" class="buttons"> yao yakaz ni ufagiaji tu tunaomba uangalie na hilo raisi wetu wawanyonge ....وسعت
  • @
    @habiba0022منذ 7 سنوات baba kumbe unawaona naunalijua kwa nn uwatumbui ee wafukuze kazi viongozi maboya ww umcheleweshi mtu fukuzaaa hao
  • @
    @abdallamabrouky340منذ 8 سنوات mh rais viongozi wengi wa kuteuliwa pamoja na wawakilishi nahata wananchi wengi hatuna uwezo waubunifu kwamfano.mkoa wa t abora wametakiwa.wajengewe soko id="hidden4" class="buttons"> lakisasa maamuzi wanalenga.wabomowe.soko lililopo walijenge upya.ajabu mji watabora unapanuka.kilasiku.tunabomoa miundo.mbinu.ambayo ipotayari ntunajengahapohapo mh.tunaongeza wamachinga.wengi.mtaani badala.yakuongeza vituo.vingine vya uwekezaji.SERIKALI.iongeze mapato.baadhi.yawamachinga.nao wapatemeza zakuuzia sekta binafsi.ziongezeke.natabora.inaeneokubwa.sana.the rais tunaomba I living alien a hill ....وسعت 1
  • @
    @joashnyabange8830منذ 8 سنوات Yaani baba wewe ni bosi kabisa una maamuzi ya kuridhisha ila tunakupenda sana tena sana ila Waziri wa elimu arekebishe kauli, nini maana ya elimu haina id="hidden5" class="buttons"> mwisho na kwa nini atoe maamuzi bila kukaa na wadau na Kwanini wenye diploma atunyime mkopo? Na kwa nini anaelement ya kuwadharau wenye duploma? Fungua mikopo baba na wenye diploma wapate na wenye diploma wasome degree ....وسعت 1
  • @
    @renaldakamugishazeramulake940منذ 8 سنوات mh.rais maamuzi yako ni mazuri lakini hukuwatendea haki wawakilishi wako tz. nzima.
  • @
    @HassanHassan-sn5cjمنذ 7 سنوات kwakweli ilikua maamuzi mazuri kama wanyonge wanathaminiwa kwakiwango hicho aidha nikweli tumeshuhudia maeneo mengi mi mwenyewe ni mchimbaji mkigundua id="hidden6" class="buttons"> sehem nzuri yamadini yakupatia angalau rizki basi hutokea mkubwa au mtoto wamkubwa anakata leseni juukwaju hatimae mnafukuzwa nakuanza kuhaha namapori kutafuta sehemu nyengine ktk halingumu yanjaa na matatzo yakiuchumi eti mkigundua tenab sehem nyengine weshafika wenyenchi yao namaeneo mengine yanchi yetu wanafanyahivyo. ....وسعت
  • @
    @josephtarimo7842منذ 7 سنوات kiongox nakuomba mwendoe bashite kilasiku tunatekwa kwanini 1
  • @
    @aminaamry2252منذ 7 سنوات kweli baba nimekuelewa vizur wee ni tais wawa nyonge lakin bado muheshimiwa tunaomba utamke juu ya vyet hewa maana kuna watu wamefukuzwa kazi ikiwa majukumu id="hidden9" class="buttons"> yao yakaz ni ufagiaji tu tunaomba uangalie na hilo raisi wetu wawanyonge ....وسعت
  • @
    @abdallamabrouky340منذ 8 سنوات mh rais viongozi wengi wa kuteuliwa pamoja na wawakilishi nahata wananchi wengi hatuna uwezo waubunifu kwamfano.mkoa wa t abora wametakiwa.wajengewe soko id="hidden10" class="buttons"> lakisasa maamuzi wanalenga.wabomowe.soko lililopo walijenge upya.ajabu mji watabora unapanuka.kilasiku.tunabomoa miundo.mbinu.ambayo ipotayari ntunajengahapohapo mh.tunaongeza wamachinga.wengi.mtaani badala.yakuongeza vituo.vingine vya uwekezaji.SERIKALI.iongeze mapato.baadhi.yawamachinga.nao wapatemeza zakuuzia sekta binafsi.ziongezeke.natabora.inaeneokubwa.sana.the rais tunaomba I living alien a hill ....وسعت 1
  • @
    @joashnyabange8830منذ 8 سنوات Yaani baba wewe ni bosi kabisa una maamuzi ya kuridhisha ila tunakupenda sana tena sana ila Waziri wa elimu arekebishe kauli, nini maana ya elimu haina id="hidden11" class="buttons"> mwisho na kwa nini atoe maamuzi bila kukaa na wadau na Kwanini wenye diploma atunyime mkopo? Na kwa nini anaelement ya kuwadharau wenye duploma? Fungua mikopo baba na wenye diploma wapate na wenye diploma wasome degree ....وسعت 1
  • @
    @HassanHassan-sn5cjمنذ 7 سنوات kwakweli ilikua maamuzi mazuri kama wanyonge wanathaminiwa kwakiwango hicho aidha nikweli tumeshuhudia maeneo mengi mi mwenyewe ni mchimbaji mkigundua id="hidden12" class="buttons"> sehem nzuri yamadini yakupatia angalau rizki basi hutokea mkubwa au mtoto wamkubwa anakata leseni juukwaju hatimae mnafukuzwa nakuanza kuhaha namapori kutafuta sehemu nyengine ktk halingumu yanjaa na matatzo yakiuchumi eti mkigundua tenab sehem nyengine weshafika wenyenchi yao namaeneo mengine yanchi yetu wanafanyahivyo. ....وسعت