المدة الزمنية 3:56

WATANZANIA NDANI NA NJE YA NCHI WAENDELEA KUJITOKEZA KUMSAIDIA FAU/ANANYANYASWA NA DADA TUMBO MOJA

بواسطة Geah Habibu
16 890 مشاهدة
0
221
تم نشره في 2020/08/27

Kupitia Youtube Channel ya geahhabibu tulikuletea tukio hili la dada huyu ambaye alikuwa akipitia manyanyaso makubwa kutoka kwa Ndugu yake wa Tumbo moja ambaye alikuwa anamtenga hampi chakula ilihali akiwa mgonjwa chumba anachokaa alimkatia umeme,Majirani ndio walikuwa wakijitolea kumpa chakula na mahitaji mengine.Baada ya kutoa tukio lake watu mbali mbali waliguswa na wakajitolea kumsaidia na hawa ni wengineo waliotuma sadaka zao kuweza kumsaidia. #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 93