المدة الزمنية 5:39

DC Longido apiga Marufuku watumishi wa Serikali kutibiwa nje Wilaya yake.

بواسطة GADI TV
415 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/04/23

Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe amepiga marufuku Watendaji na watumishi wa Serikali kwenda kutibiwa nje ya Wilaya hiyo vingenevyo iwe ni rufaa kutoka kituo cha afya ama hospitali iliyopo ndani ya Wilaya hiyo. GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV Thanks.

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 2