المدة الزمنية 3:9

SAKATA LA SUMU YA GAS BEACH KIDIMBWI, MENEJA AFUNGUKA WAKO POLISI, WIVU WA MAPENZI

بواسطة Millard Ayo
30 677 مشاهدة
0
179
تم نشره في 2021/05/24

#millardayoUPDATES Baada ya kusambaa kwa taarifa mitandao iliyoibua taharuki kwamba kuna watu wamepoteza maisha, kuibiwa mali zao na kuzimia katika eneo maarufu jijini Dar es Salaam Kidimbwi Beach, Ayo Tv na Millardayo.com imezungumza na Uongozi wa eneo hilo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 24