المدة الزمنية 24:56

Nyota ya Ng'ombe | Ijue nyota yako | Fahamu kila kitu kuhusu nyota hii basics | Taurus | Star sign

بواسطة Rakims Spiritual
13 658 مشاهدة
0
171
تم نشره في 2021/06/30

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: rakimsspiritual@gmail.com Whatsapp: +255 783 930 601 Hii ni nyota ya pili katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya tarehe 20 April hadi May 20 au wenye majina yalioanza na herufi B au V au U jinsia ya nyota hii ni Jike. Nyota hii ya Ng'ombe ni Nyota ya mtu mkimya, mwenye upendo, mvumilivu, mwenye utulivu, mwenye dhamira na vitendo, mkaidi, na anayepinga mabadiliko. Ng'ombe ni nyota yenye sifa za ukimya, upole, sikivu, usawa, ujeuri na kutokukubali kubadilika. SAYARI YAO: Venus (Zuhura) kwa historia za kale Nchini Roma ilikuwa ikiaminiwa kama moja kati ya miungu yao ya kike ambaye ni Mungu wa Urembo na Sanaa vile vile raha na mihemko. Kinyota Sayari hii ni sayari inayoshawishi kupelekea kupenda anasa na uweze wa kipekee wa ubunifu, UBORA WAKE: Ni nyota isiyohamishika (fixed sign) ALAMA YAO: Ng'ombe DUME: Ambayo huwakilisha Nguvu, mkaidi, mwenye kujivuta, anayeweza kuwa na tabia mbili kwa pamoja mkali na mpole. Rakims Spiritual

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 64