المدة الزمنية 34:39

Askofu Dkt Shoo Akiongoza Ibada ya Mazishi ya Katibu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini

بواسطة Upendo Media
3 598 مشاهدة
0
7
تم نشره في 2021/03/04

Mkuu wa Kanisa la KKKT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameongoza mamia ya waombolezaji katika Ibada ya mazishi ya mwili wa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini, Arthur Shoo, ambayo imefanyika Machi 2, 2021 kwenye Usharika wa Kimashuku, Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro #RIPArthurShoo #UpendoMedia #AmaniKwaWote

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1