المدة الزمنية 6:52

YANGA vs MBEYA CITY: Kocha KRMPOTIC Amchambua CARLINHOS, LAMINE MORO na MUKOKO

بواسطة Global TV Online
8 565 مشاهدة
0
48
تم نشره في 2020/09/13

YANGA vs MBEYA CITY: Kocha KRMPOTIC Amchambua CARLINHOS, LAMINE MORO na MUKOKO... Vikosi vya klabu ya Yanga na Mbeya City, tayari vimetua katika dimba la Mkapa jijini Dar kuvaana katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.. Hii ni mechi ya pili kwa Yanga katika ligi kuu msimu huu, ambapo mechi ya kwanza alikutana na Tanzania Prisons na kutoka sare ya (1-1), na kwa upande wa Mbeya City pia ni mechi yao ya pili baada ya kupoteza ile ya awali dhidi ya KMC kwa kuruhusu kichapo cha (4-0)... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Yanga kuichapa Mbeya City (1-0) ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10