المدة الزمنية 5:52

SEPTEMBA 19: MWEZI WA INJILI NA UMISHENI WAAMINI WAPYA ZAIDI 24 KUBATIZWA SEPT 26

110 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/09/19

Mwezi Septemba 2021 ni mwezi wa Injili na Umisheni katika kanisa letu la Fpct nchini Tanzania, katika Parishi ya Shalom tunategemea kubatiza waamini wapya zaidi 24 waliookoka katika mwezi Septemba, mwezi wa Injili na Umisheni kitaifa katika kanisa letu la Fpct. video hapa wakitambulishwa na katibu wa kanisa Mzee Meshack Guranywa Jumapili Septemba 19 tayari kwa ubatizo Septemba 26 2021, tunawaombea Mungu waukulie vema Wokovu wa Kristo. KANISA LIPO MANISPAA YA KAHAMA KATIKA MKOA WA SHINYANGA KATA YA NYIHOGO ENEO LINALOITWA MNAZI MMOJA AU WAWEZA KUTUPIGIA SIMU:- +255 757929669 . ----------------------------------------------------------------- - FACEBOOK https://web.facebook.com/fpctshalomtemple ------------------------------------------------------------ - INSTAGRAM https://www.instagram.com/shalomtemplelive/ ---------------------------------------------------------- - WHATSAPP +255 757 92 96 69

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0