المدة الزمنية 7:51

DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA MSIBANI /WAKUTANA NA../MTANGAZAJI WA CLOUDS AISHIWA NGUVU (R.I.P RUGE)

بواسطة Jicholauswazi
38 097 مشاهدة
0
112
تعليقات - 38
  • @
    @ericktigelindwa1080منذ 5 سنوات Ruge lived his life, we must live his legacy.@ Tanzanians
  • @
    @dicksonmpululu1800منذ 5 سنوات Mnazingua sana tutakuwa hatuangali chanely yenu mnakuwa waongo sana kiba na mond wakwap
  • @
    @dojachomoka7643منذ 5 سنوات hizi midia za kipimbi hua na describe TU.
  • @
    @herifredrickson2040منذ 5 سنوات Oya mnavhukua mda mrefu Sana kuanza na hayo manamba yenu badillikeni.
  • @
    @popperkuch669منذ 5 سنوات Hivi bila cmba huwa hamuwezi kupata salio u tube?
  • @
    @masungajacob2628منذ 5 سنوات WAPUMBAVU NYIE,
    MNATUMIA MAJINA YA WATU
  • @
    @harunimfaume6280منذ 5 سنوات ali kiba mond wako wap acha bas kuzingua mnajishushia cv sasa kwan usnge mtaja mond na ali watu tusnge angalia jicho la uswaz manaaza kupoteza tutawapotezea 1
  • @
    @silouspaul1822منذ 5 سنوات Yaan watanzania wengine Kama ni wageni apa chini watanzania sio washamba wa Mambo naona mtafute nauli mludi kwenu maana mnauzi
  • @
    @raxhidymono9258منذ 5 سنوات Uyu nae maswali anayarudia rudia waandishi wa habari wa bongo mnaniachaga hoi someni kwanza jamani mnatia aibu
  • @
    @fatumaally3266منذ 5 سنوات Hawa watangazaj majinga sana mond nakiba wako wap hapo
  • @
    @musary1285منذ 5 سنوات Ya nn kutudanganya caption siuwemkweli tu unatukera bwana
  • @
    @lovenessmwijage9376منذ 5 سنوات Mtu akifa inakuwa furaha kwenu nyie wanahabari mahana mnapata ktu chakutanza daa yani mnaboa
  • @
    @godfreywebiro4058منذ 5 سنوات Kennedy kakujibu basi tuu. ILa mtangazaji hujiamini,hujui kuhoji. Ningekuwa mimi ningekupotezea 1
  • @
    @fatumaally3266منذ 5 سنوات Tupo kwenye majonz mleta upuuz kuwen seriously 2
  • @
    @jumarashidi2476منذ 5 سنوات Mond na kiba wako wapi or ndio kiki2 mnafki mkubwa
  • @
    @irinemacha2951منذ 5 سنوات Kwahyo Kennedy kawa
    Mondi na
    Kiba
    3
  • @
    @edwinemoit774منذ 5 سنوات We msenge sa platinumz yupo wapi hapo acha mambo ya kisenge mb tunanunua fala ww
  • @
    @aloyceiluminata3650منذ 5 سنوات Ningekuwa waziri wa habari,utamaduni na michezo ningezifungia hizi online channel za kisenge. hawa Ni waongo Sanaa.am fed up with them.kichwa cha habari na video Ni tofauti.
  • @
    @martindeogratius6547منذ 5 سنوات Inamana nyie jicho la uswazi bila kutaja diamond huwez kupata views achen ujinga mkue watangazaji wa bongo kama mmelogwa jaman mnashida gan ?