المدة الزمنية 15:23

Gwambina FC 4-0 Coastal Union | Highlights | VPL

بواسطة Azam TV
4 513 مشاهدة
0
12
تم نشره في 2021/04/12

Gwambina FC imeishushia kichapo kikali cha mabao 4-0 Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Gwambina Complex, Misungwi Mwanza. Magoli ya Gwambina yamefungwa na Meshack Abraham, Paul Nonga, Rajab Athuman na Jimson Stephen Mwanuke. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4