المدة الزمنية 18:32

BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20

بواسطة Global TV Online
594 740 مشاهدة
0
3.5 K
تم نشره في 2019/03/01

BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20 Safari ya Bokassa ilianza vibaya ikaisha vibaya. Kwanza alikuwa yatima katika umri mdogo, akawa mtu mkubwa jeshini, akawa Rais wa nchi, akala, akanywa, akaiba, akaoa, akazaa, akafukuza, akatesa, akaua, akapinduliwa, akakimbia nchi,akarudi, akafungwa, akaachiwa, akafa ni mzee wa miaka 75, tena lofa! Akiwa na umri wa miaka 6, alishuhudia baba yake akipigwa mpaka kufa na wakoloni na wiki moja baadaye mama yake alijiua. #BOKASSA /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 391