المدة الزمنية 12:56

MGOMBA MWITU - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI -RAMADHANI 2021

بواسطة Mau Mpemba
152 051 مشاهدة
0
693
تم نشره في 2021/04/15

#MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar MGOMBA MWITU - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI -RAMADHANI 2021 Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo. Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia. Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia. +255 777 001500

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 85