المدة الزمنية 6:14

UTATA MIL 162 ZAPIGWA, WANACHAMA WACHARUKA - WALETENI Hao VIONGOZI HAPA

بواسطة Global TV Online
451 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2021/07/07

UTATA! MIL 162 ZAPIGWA, WANACHAMA WACHARUKA - "WALETENI Hao VIONGOZI HAPA" Wanachama wa chama cha ushirika wa kilimo na masoko Madibira (MAMCOS) wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuunda tume huru ya kuchunguzi uhalali wa matumizi ya shilingi milioni 162 zilizochangwa na wanachama kwa ajili ya ujenzi wa Vyoo 100. Uamuzi huo umefikiwa Kutokana na vyoo vyote vilivyojengwa kubomoka kwa muda mfupi, ambapo wanachama kupitia mkutano maalumu wa chama hicho wameibuka na hoja ya kutokuwa na imani na uhalali wa matumizi ya fedha hizo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2