المدة الزمنية 7:19

AfyaYako: Mtaalam aeleza dalili za ugonjwa wa moyo

بواسطة Daily News Digital
40 929 مشاهدة
0
202
تم نشره في 2018/10/12

Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yanayoisumbua jirani kwa kiasi kikuwa. Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete (JKCI) kupitia kwa mkurugenzi wake, Profesa Mohamed Janabi inakuletea baadhi ya dalili za ugonjwa wa moyo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 64
  • @
    @suzanejeremiah3463منذ 3 سنوات Loh, Mwenyezi Mungu tutie nguvu, kumbe. .. 3
  • @
    @happykundael7706العام الماضي Asant sana Doctor lakin mim nina swali je kuhc kam kichom kinakuchom kila mahal kinawez kikachom juu ya bega au mgongon au mguun au kifuani tatizo linakua nin
  • @
    @happymlwiloالعام الماضي Naomba namba yako ya cm inashida ya moyo natumia dawa lakini hakuna unafuu nisaizie Doctor 1
  • @
    @felixwillson3525قبل 9 أشهر Namba tafadhali mwenye namba ake huyu docta anipe jamani
  • @
    @histonyezekiel4214منذ 4 سنوات Mm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha Kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu id="hidden2" class="buttons"> inakuwa Kama imeisha nguvu kabisa swala la kifua upande wa kushoto kuuma la siku nying Sana Sasa cjui inaashiria nn na nipo kijijin ....وسعت 1
  • @
    @aishafrancis7714قبل 9 أشهر Naombeni namba ya huyu doctar nina mgonjwa ana hali mbaya
  • @
    @zakayozakayo3697منذ 2 سنوات Mim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim ,nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa San sijajua id="hidden3" class="buttons"> shida nin navimba nimepima ini liko Safi figo pia liko Safi sjajua sasa nashida gan ....وسعت
  • @
    @ivyrehema3246منذ 3 سنوات Samahani navipi kuhusu kufura chini ya ziwa la kushoto nakuuma
  • @
    @makuyunitvshow2529منذ 3 سنوات Doctor moyo wangu unaenda mbio mpaka Kuna mda nashindwa kuhema naomba unisaidie mnapatikana wapi Mimi nipo Arusha,halafu nikila vitu vya nafuta najiskia vibay sana 1
  • @
    @mubirupeter2153منذ 3 سنوات Asante sana doctor kwa somo lako ila Nina maumivu makali chini ya titi upande wa kushoto sijui inatokana na nini 4
  • @
    @user-oc8uo9rl3uقبل 7 أشهر ACHENI KUTISHA WATU TOETI TOENI MATIBABU WATU WAFANYEJE ILI WAJITIBU SIO KUWATISHA MKAISHIA HAPO
  • @
    @histonyezekiel4214منذ 4 سنوات Docta plz tupe namba tunatembea tunaumwa tusije anguka 3
  • @
    @happynessmakoyehappynessma6611منذ 5 سنوات Jmn me mapigo ya moyo yanaenda mbio sanaaaa kila sk uck cjui tatizo nini 1
  • @
    @fatmamkongo4337منذ 3 سنوات Doctor upande wa kushoto juu ya ziwa Kuna muda nahisi maumivu makali Sana,,mpaka mkono nahisi unaganzi,,
  • @
    @goodluckmuyabi4194منذ 5 سنوات Moyo kuuma ukipita kwenye sehemu ya bamsi ni ugonjwa? 3
  • @
    @basilisamsaka8469منذ 3 سنوات Janabi ulinisaidia Sana Mungu alikuwa mbele yng,lkn nawe ulipigania maisha yng. 1
  • @
    @MohamedTsavwa-xh1xlقبل 9 أشهر Vp Docta wakenya wanaruhusika kutibiwa uko
  • @
    @aishaahmed2878منذ 2 سنوات Dr.naomba msaada mtoto wangu wa miaka sita Kuna wakati moyo unaenda mbio Sana na kuna wakati anasema anahisi maumivu, Je anaweza akawa na shida ya moto?
  • @
    @lovederyare6756منذ 5 سنوات Docta me nna swali inakuaje mtu nimenene sana kam mm lakini nikipima presha iko normal hii ni kwasababu gani 3
  • @
    @thobiaspaul8247منذ 5 سنوات Hivi kuna dawa kwa mtu mwenye tatizo la moyo kupanuka na kamaipo garama kuhusu matibabu ni kias gani 2
  • @
    @histonyezekiel4214منذ 4 سنوات Mm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha Kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu id="hidden7" class="buttons"> inakuwa Kama imeisha nguvu kabisa swala la kifua upande wa kushoto kuuma la siku nying Sana Sasa cjui inaashiria nn na nipo kijijin ....وسعت 1
  • @
    @zakayozakayo3697منذ 2 سنوات Mim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim ,nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa San sijajua id="hidden8" class="buttons"> shida nin navimba nimepima ini liko Safi figo pia liko Safi sjajua sasa nashida gan ....وسعت