المدة الزمنية 7:1

Tazama Mengine ya Kikristo Ya Watoto Wa Kiume

بواسطة Quotes24life
129 179 مشاهدة
0
291
تم نشره في 2020/02/10

Katika Video hii, Utafahamu Maana Za Majina. Kila Jina Unalolifahamu hapa duniani lina maana Pamoja na Asili yake. Kabla ya Kutoa Jina fulani, ni muhimu kujua Maana au asili ya jina hilo. Ni vizuri zaidi Iwapo Utachagua Jina lenye maana nzuri. #Watotowakiume #Majinayakikristo #Quotes24life

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 137