المدة الزمنية 3:1

TASWIRA KIMATAIFA : TPLF wasitisha vita Ethiopia, EU waidhinisha chanjo ya tano ya Uviko-19

بواسطة Dalmus Sakali
52 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2021/12/22

Msemaji Wa Harakati Ya Ukombozi Wa Tigray (TPLF) Nchini Ethiopia Amesema Kuwa, Wameondoka Kikamilifu Katika Mikoa Ya Amhara Na Afar Ili Kuonesha Nia Njema Na Kutaka Mgogoro Wa Nchi Hiyo Utatuliwe Kupitia Mazungumzo. Hayo Yameripotiwa Na Vyombo Mbalimbali Vya Habari Ambavyo Vimemnukuu Getachew Reda Akisema Hayo Na Kuongeza Kuwa, Kwa Kuondoka Kwao Kikamilifu Katika Mikoa Hiyo Miwili, Wapiganaji Wa TPLF Wameithibitishia Jamii Ya Kimataifa Kuwa Wana Nia Njema Ya Kuutatua Mgogoro Huo. Hatimaye, Umoja Wa Ulaya Umeidhinisha Chanjo Ya Tano Dhidi Ya Ugonjwa Wa Covid-19 Huku Ukiimarisha Juhudi Za Kukabiliana Na Aina Ya Kirusi Kipya Cha Omicron Wakati Shirika La Afya Ulimwenguni, WHO, Likitoa Wito Wa Juhudi Zaidi Kuhakikisha Janga Hilo Linamalizika Kufikia Mwaka Ujao. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #TPLF #Omicron

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1