Je ulikuwa unajiuliza wapi utapata somo zuri la upishi wa half keki?basi somo limewadia.
Video hii itakuonyesha jinsi ya kupika half keki za garama nafuu kwa ajili ya biashara.
Hatua kwa hatua.
kuangalia video zingine za half keki bonyeza link hizi
HALF KEKI ZA CHAPA MAANDASHI
/watch/sVMtflvlw1Wlt
HALF KEKI ZA HAMIRA
/watch/MSB0xI2dlnEd0
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 179
مقاطع الفيديو ذات الصلة على JINSI YA KUPIKA HALF KEKI | HALF KEKI ZA GHARAMA NAFUU KWA AJILI YA BIASHARA | KUPIKA HALF CAKE: