المدة الزمنية 5:54

EQUITY BANK Waja na Huduma Mpya Kabambe

بواسطة Global TV Online
1 621 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2018/07/24

EQUITY BANK Waja na Huduma Mpya Kabambe KATIKA kuleta maendeleo hapa nchini EQUITY Bank imekuja kivingine katika kuhakikisha mwananchi ananufaika na huduma zinazotolewa na benki hiyo kupitia huduma yao ya bidhaa ya upatikanaji wa maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira. Equity Bank inamwezesha mteja kuunganishiwa maji na hata kumwezesha mkopo wa kwa ajili ya kuchimba visima na hata vyombo vya kuhifadhia maji kwa usalama zaidi, huduma zote za majumbani Equity benki ndiyo suluhisho la mahitaji yote ya kifamilia. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4