المدة الزمنية 3:41

JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA NYAMA YA KUSAGA

بواسطة Mapishi na Amanda
7 986 مشاهدة
0
42
تم نشره في 2020/07/06

karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika tambi za nyama ya kusaga  mahitaji yake tambi nyama ya kusaga vitunguu karoti hoho chumvi mafuta kidogo ya kupikia cumin binzari ya manjano curry powder soy sauce mamasita sauce tui la Nazi/coconut cream tomato paste limao chakula hiki unaweza kukifanya kama mlo wa asubuhi, mchana au hata usiku. karibu uangalie na ujifunze mapishi haya, usisahau kulike na kuacha comment yako hapo chini na kama ni mara ya kwanza usisahau kusubcribe channel yetu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1