المدة الزمنية 4:29

Kaswida- Yarabi, Ee Bwana Tujalie | | Vijana

بواسطة Mwenge SDA Church
9 635 مشاهدة
0
68
تم نشره في 2020/09/09

Asalaam aleikum (amani iwe kwako). Kaswida hii iliimbwa katika mfululizo wa hotuba za Neno la Mwenyezi Mungu, zilizokuwa na mada kuu "Tumaini kwa Uzao wa Ibrahim", Mhadhiri akiwa Dominic Mapima. Fuatilia hotuba hizi zitakazojibu hoja mbalimbali tata katika maisha ya kiimani kupitia link/kiunganishi hiki: https://bit.ly/Tumaini-Kwa-Wana-Wa-Ibrahim-Dominic-Mapima Ukiwa na swali unahitaji ufafanuzi, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mhadhiri Dominic Mapima kwa namba +255 715 527 143 au +255 757 527 143. Waweza pia uliza swali lako mubashara wakati wa hotuba kupitia "live chat", na litajibiwa mubashara. Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 215 930 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz. Tunapenda kukujulisha kupitia channel hii, kuna vipindi mubashara mbalimbali kila siku jioni kama; Ongeza Ujuzi, Afya ni Mtaji, Kona ya Watoto, Lijue Kanisa na Ibada mbalimbali na maombi. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Mungu akubariki.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 31