Mgombea Urais Kupitia CHADEMA,Tundu Lissu amekutana na kuzungumza na Wanachama katika Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 28
@
@jaksonjulius9010منذ 4 سنواتAsanteh mungu kwa kutuletea Mh.TUNDU ANTIPUS LISSU msema kweli kwa uhuru hata kama mkuu hapend uhuru wetu
@
@ukweliunauma4570منذ 4 سنواتHakuna raha katika dunia kama kua na freedom ya kusema, freedom ya maisha, kushinda kuishi na hofu na kuogopa watu fulani, nchi imekua unacho fanya unakomolewa, au kupotea amkeni watanzania we zangu jamani 2
@
@johnisrael1968منذ 4 سنواتHa haaaaa haaaa haya ndiyo mapenzi ya dhati halazimishwi MTU kumpenda mwenyewe utampenda mmmh htr 1
@
@sasha-ri7tfمنذ 4 سنوات"Shaer and Like" Habari za vyama makini ili taarifa ziwafikiye wa Tz wenye kupenda Amani na Uhuru ktk Nchi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 1
@
@emmanuelyjohn6087منذ 4 سنواتNaona mnatapatapa hamuoni hata pa kutokea na raisi kirema mwambieni akunje mguu urais tunampa 1
@
@omarratibu9709منذ 4 سنواتTunataka Sera zako sababu Magufuli tushaona maendeleo yake. sio kupigwa kura tu
@
@angelsonshiteri7232منذ 4 سنواتWanakahama huyu jamaa alikuja tukupigia kelele tu 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على TUNDU LISSU, APEWA BARAKA ZA KUGOMBEA URAIS-CHADEMA: