المدة الزمنية 1:17

PAUL MAKONDA: TUTAKAMATA WAZURURAJI WOTE WANAO ZURURA MJINI BILA KAZI YA MAANA

بواسطة Mwananchi Digital
3 526 مشاهدة
0
21
تم نشره في 2020/04/05

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda ametoa tahadhari na kudai kuwa kwa wale wote watakao kutwa wanazurura mjini bila kuwa na kazi ya maana watakamatwa, kwani wao ndo wanao sababisha mikusanyiko hisiyo kuwa na tija.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 23
  • @
    @ndarogamba191منذ 4 سنوات Maisha ya watanzania yote yanafanana kiuzururaji,sasa utamtambuaje kwamba huyu anazurura au hazururi?.
    Mbona mtakamata wote kisha muwape hela ya id="hidden1" class="buttons"> kula mn bado unyonge wetu haujaisha tena ndo umezidi na hii corona.
    ....وسعت 3
  • @
    @ashaali7154منذ 4 سنوات hapo unaambiwa uache uvivu usiogope Corona utoke ukafanye kazi halafu ukitoka kuhangaika utakamatwa
    Sasa mwananchi afanyeje jamani?
    5
  • @
    @andrew.gadimrinji1713منذ 4 سنوات Makonda unajichanganya.please jaribu kuzungumza machache.
  • @
    @saidabdallah4901منذ 4 سنوات Dunia ya leo Mambo hayapo hivyo hakuna mtu uliyempa kazi hakaikataa
  • @
    @dullahamoud6037منذ 4 سنوات Mm nahisi wazururaji hasa wapo kwenye mabaa 'na kumbi Za tarehe , makasino, madisko, beti nk
  • @
    @hasani565منذ 4 سنوات Huyu nae ukiwakamata alafu ndio nini utawarundika wapi hela
  • @
    @lilianmngulwi7119منذ 4 سنوات Maisha ya watanzania wengi ni ya mtembea bure si sawa na mkaa bure huenda ukalokota,sasa hapo ni kutafuta vita kati ya mgambo wa jiji na raia.
  • @
    @bonifasbonara9323منذ 4 سنوات Mtuakienda sokoni mzururaji kweli?? Yutamjuajeee?? Wee makonda vipi wewe?? 2
  • @
    @dachjunior4766منذ 4 سنوات COMMENTS ZILIZO NYINGI ZAONESHA TAFSIRI YA NENO MZURURAJI YAWEZEKANA HAIFAHAMIKI KABISA
  • @
    @CheMatakaofficialمنذ 4 سنوات Tujitaidi kila mtu utimize majibu wake
  • @
    @simbalion2871منذ 4 سنوات Mh makonda tafadhali maagizo yako yanaleta madhara leo jpl washaanza kukamata watu bila kosa mtu kaka barazani kwake wanamkamata kumtia ndani ya difenda id="hidden2" class="buttons"> hakika hili tamko lako najua umetamka kwa nia njema lkn watendaji wachache watalitumia vibaya litakua sababu ya kudhulumiwa watu na kuonewa kutiwa ndani wkt waziri mambp yandani inatafuta jinsi yakupunguza mahabusu hili litaengeza rushwa na misongamano ya mahabusu toa tamka mkuu wetu wamkoa watu wasionewe kabla madhara maana ww umesema kuanzia j3 watu wameenza hatua kukamata jpl haya huoni kama hatari hii ....وسعت 1
  • @
    @maryamali9229منذ 4 سنوات Mwanzo ulisema ugonjwa huu usikufanye usifanye shughuli zk ,ulisema ugonjwa kweli upo lkn wt wapige kazi leo mnakamsta wazururaji ,wkt nchi za ulaya zimefunga kila k2 watu wl lock down ? Hatujiuzi kweli watanzania
  • @
    @janethkimaro3410منذ 4 سنوات Muheshimiwa ingekuwa vyema kwa jiji letu la dar es salaam kuwepo na utaratibu mzuri wa kuendesha masoko na sehem zenye msongamano mfano; viongozi wa masoko id="hidden4" class="buttons"> wangefanya mgawanyo mara mbili ya wafanyabiashara wapewe siku kadhaa na waliobaki siku kadhaa kwa wiki ili kuepusha msongamano na pia kwa kuwa utaratibu wa daladala ni level siti pia ingesaidia na hawa wanaofata bidhaa kwenye masoko hayo waendelee kupewa elimu ya kutosha kuhusu kufanya manunuzi ya mizigo wanayofata angalau mara moja kwa wiki au isiozid mara mbili ingesaidia sana kupunguza sana msongamano. ....وسعت 1