المدة الزمنية 5:50

MDAU AUNDA GARI LAKE JIJINI MBEYA..

بواسطة MICHUZI TV
91 223 مشاهدة
0
351
تم نشره في 2016/08/23

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 45
  • @
    @dennischeyo13024 years ago Wanangu wa uyole hawa nishawaona sana nikiwa green City Mbeya home sweet home 1
  • @
    @restkalemile52743 years ago upewe vifaa na nani kaka..... hapo ulipofika nan alikup vifaa..... pambana kwa juhud binafs, nyKat hiz hakun mtu anaweza toa kitu chake bure watu ubinafs umetawala sana....... 2
  • @
    @khamisoothman52946 years ago mzee umetengeza gari zuri sana lenye umbo la kuvutia 2
  • @
    @fredialfredi2022 years ago Nimependa apo kwenye mafuta kako poa mbaya
  • @
    @faustinemwamlima23345 years ago Mimi naomba niuzie hiyo gari nimeielewa 2
  • @
    @nyamtigaibrahim5304 years ago Ahahahahahahahahahahahahahahahah ila mtangazaji wakati anaenda kumhoji muhusika nahisi alikunywa au alivuta maana Mambo mengine hata cjui maswali yake cyaerewi 1
  • @
    @thomasgeorg41137 years ago mungu yu mwema hongera sana ila ukiamua kufanya kitu fanya tu kwakuwa mbunifu hana mipaka duniani kote 1
  • @
    @rutashubanyuma45466 years ago Safi
    Umewazidi wasomi wakubwa ambao elimu zao ni vitabuni tu hawawez kuunda ht pikipiki
    4
  • @
    @joellumala32064 years ago Tunaulizia kama jamaa ashaenda kumuona Rais au vepee??? 1
  • @
    @daviddouglas89432 years ago Ifikie wakati sasa Serikali iwakusanye pamoja hawa watu wenye uwezo wa aina hii, maana inaonekana wapo wengi sana Tz sasa hivi...Wawaombee hata msaada nje wawasaidie watafika mbali sana
  • @
    @amanijampion30455 years ago Tunaomba mawasiliano yake. Tufanye biashara pia
  • @
    @dicksonsenyagwa95424 years ago Tatizo letu waafrika unajitahidi kuunda vitu mara unaambiwa utafungwa ni ajabu
  • @
    @abdulrisassy24885 years ago Ukitengeneza ndege unafungwa jamanii...eti usichezee anga😂😂😂
  • @
    @rashidabdallah70356 years ago naomba namba yako bwana buga ili nikutafute 1
  • @
    @saidzww7 years ago usije hapo anakuona atakusapoti sana hongela mungu atakupa ujuzi mwingine
  • @
    @donaldnelson92266 years ago Hiyo Gari inacadi na TRA wanaijua?,mbona haina namba?.
  • @
    @abduljuma49446 years ago Mimi nimetengeneza pikipiki yang mwenyewe model ya ducat njoo nitembelee niko singida 0753942301
  • @
    @saidasimba99796 years ago anatengeneza Gari au anaunda bod.? labda Gari ni ipi jaman 2