المدة الزمنية 28:39

HAFLA YA UAPISHO WA MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) ,BALOZI NA MKUU WA ITIFAKI (CP)

بواسطة Ikulu Tanzania
14 819 مشاهدة
0
95
تم نشره في 2019/10/01

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anamuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) na Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuna Balozi na Mkuu wa Itifaki (Chief of protocol) wa Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Hafla inayofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 24