المدة الزمنية 6:21

UDOM CHOIR 2020; wimbo, sijaona mwema kama YESU

528 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2020/07/06

BWANA YESU ASIFIWE WATUMISHI WA MUNGU.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! udom choir wanakuletea wimbo unaoitwa sijaona mwema kama YESU, wimbo huu umeimbwa katika joint mass ya wilaya ya DODOMA mjini katika college of business, social science and law(CBSL) tarehe 5july 2020. KWA HAKIKA HAKUNA MWEMA KAMA YESU, MUNGU AKUBARIKI. kwa niaba ya uongozi wa casfeta tayomi tiba, tunaomba utusaidie mambo yafuatayo ukiwa unasikiliza wimbo huu; 1. subscribe channel yetu 2.share videos hizi kwa wengine 3.comment pia waweza tag na mwenzako 4.usisahau ku-like video zetu 5.mwisho bofya kitufe cha notification upande wako wa kulia ili kuweza kuendelea kufuatilia channel yetu. MUNGU AKUBARIKI SANA; Waweza kuabudu nasi kila siku jumatatu, jumatano na ijumaa kuanzaia 18;50-----20;00 pm

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2