المدة الزمنية 24:6

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA USIKU MTAKATIFU 24/ 12 / 2021

2 412 مشاهدة
0
27
تم نشره في 2021/12/24

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA USIKU MTAKATIFU KICHWA CHA SOMO : UJUMBE WA LEO : "Ukomo wa Wakati Mweusi" BLACK THEOLOGY Isaya 9 : 1 - 3 1 Lakini yeye aliyekuwa katika dhiki hatakosa changamko. Hapo kwanza aliiingiza nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali katika hali ya kudharauliwa, lakini zamani za mwisho ameifanya kuwa tukufu, karibu na njia ya bahari; ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa. 2 Watu wale waliokwenda katika giza Wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru imewaangaza. 3 Umeliongeza taifa, umezidisha furaha yao; Wanafurahi mbele zako, Kama furaha ya wakati wa mavuno, Kama watu wafurahivyo wagawanyapo nyara. Mhubiri : Rev. Dr. Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri: Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Simu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2