المدة الزمنية 4:36

TAMADUNI ZA KISUKUMA

بواسطة Projestus Binamungu
5 897 مشاهدة
0
16
تم نشره في 2016/12/13

taifa lisilo na tamaduni ni taifa mfu. Ingawa juhudi za dhati za kuziendeleza tamaduni hizo katika baadhi ya mataifa barani afrika zinazidi kupungua. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazo onekana kuanza kupuuza baadhi ya tamaduni na hivyo pasipo viongozi wa tamaduni husika kuchukua hatua ya kuziboresha tamaduni zao uwenda zikapotea kabisa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1